wakuu mwenje uzoefu wa kufanya uwamisho wa shule namwitaji gharama ntatoa,,ni uamisho kutoka shule ya mabwe to kibaha au njombe high school,comb ni PCM,,,
wakuu mwenye uzoefu wa kufanya uwamisho wa shule namwitaji gharama ntatoa,,ni uamisho kutoka shule ya mabwe to kibaha au njombe high school,comb ni PCM,,,j
Kiswahili cha wasomi wa jukwaa la elimu kinanifurahisha sana. Bora hata wajasiliamali kwenye jukwaa lao la wafuga kuku, mbuzi, nguruwe na kulima nyanya na vitunguu..
Kiswahili cha wasomi wa jukwaa la elimu kinanifurahisha sana. Bora hata wajasiliamali kwenye jukwaa lao la wafuga kuku, mbuzi, nguruwe na kulima nyanya na vitunguu..