Kutakatisha fedha ndio kitendo gani hiki?

Kutakatisha fedha ndio kitendo gani hiki?

angulupeye

Member
Joined
Dec 10, 2018
Posts
16
Reaction score
17
Habarini za majukumu wana board,

Leo tukiwa aidha tunasherekea krismas au tukishuhudia wenzetu wakisherekea krismas, Bado undugu, upendo, umoja, na mshikamano wetu uko pale pale katika kuhakikisha tu kama ndugu tunayafikia malendo yetu.

Poleni kwa uchovu na usumbufu wa hapa na pale mimi kama ndugu yenu leo naomba kuwekwa wazi nini MAANA YA KUTAKATISHA FEDHA? Nimekua nikisikia sana hili neno na nimehangaika sana kupata maana yake sijafanikiwa ila kwa kuwa JF hapa ni home of great thinkers naamini wapo wataalamu wa haya mambo sasa naomba kuelekezwa vizuri kutakatisha fedha ni kitendo gani hiki?

Msaada please


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mujibu wa Google translator Money laundering ni:

Fedha chafu ni mchakato haramu wa kuficha asili ya fedha zilizopatikana kinyume cha sheria na kupita kwa njia ya mlolongo tata wa uhamisho benki au shughuli za kibiashara. mpango wa jumla wa mchakato huu anarudi fedha kwa dobi kwa njia penye giza na ya moja kwa moja.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Mimi hili swali najiuliza , maana ya kutakatisha fedha ni nin? Maana unaweza kuwa umechil maskan kumbe unatakatisha fedha za watu , mara paap, ukajikuta upo central ...

Fedha yoyote ile uliyoipata kutoka katika chanzo kichafu/haramu/kisichoruhusiwa kisheria kama vile pesa itokanayo na kuuza malaya kwenye danguro unalolimiliki,ufisadi,rushwa,biashara za magendo,ujambazi etc,na ukaitumia pesa hio chafu kufanya biashara halali kama vile kuanzisha duka lako,kujenga nyumba za kupangisha,kuanzisha bar yako etc

Hapo ndipo umetakatisha pesa boss.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fedha yoyote ile uliyoipata kutoka katika chanzo kichafu/haramu/kisichoruhusiwa kisheria kama vile pesa itokanayo na kuuza malaya kwenye danguro unalolimiliki,ufisadi,rushwa,biashara za magendo,ujambazi etc,na ukaitumia pesa hio chafu kufanya biashara halali kama vile kuanzisha duka lako,kujenga nyumba za kupangisha,kuanzisha bar yako etc

Hapo ndipo umetakatisha pesa boss.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ongezea na kujaribu kuonyesha/kuirudisha katika mfumo wa kifedha halali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ministry of Finance and Planning​
Financial Intelligence Unit
Contact us
VerticalBar.jpg
Feedback
VerticalBar.jpg
Search​
Kitengo cha Kudhibiti Fedha Haramu​
HorizontalLineHeader.jpg
Dirty Cash
STOP Money Laundering
Handcaffed Criminal
News and Updates
1. The Anti-Money Laundering (Electronic Funds Transfer and Cash Transactions Reporting) Regulations, 2019 were published on 24/5/2019 by Government Notice No. 420 and are made under section 29 of the Anti-Money Laundering Act (Cap.423). The Regulations require, among other things, Reporting Persons to report to the FIU currency transactions and electronic fund transfers transactions based on the prescribed threshold. - 7/June/2019

2. The Anti-Money Laundering (Amendment) Regulations, 2019 were published on 24/5/2019 by Government Notice No. 419. The Regulations should be read as one with Anti Money Laundering Regulations, 2012.
- 7/June/2019

3. Tanzania National Money Laundering and Terrorist Finance Risk Assessment Report - 7/May/2019

4. Tanzania Financial Inclusion Products National Risk Assessment Report - 7/May/2019

What is Money Laundering?
Money laundering is a process of disguising illegal transactions designed to obscure the origin of money that has been obtained illegally. Read more ...
Utakasishaji wa Fedha Haramu ni Nini?
Utakasishaji wa Fedha Haramu ni shughuli au vitendo vyenye lengo la kuficha ukweli au asili ya fedha au mali iliyotokana na uhalifu. Soma zaidi ...
Reporting Person Information

MoUs signed with other FIUs and internal Stakeholders
 
pesa ambazo umezipata kwa rushwa, madawa ya kulevya, ujambazi, meno ya tembo, kuiba serikalini kwa njia mbali mbali
hivi vyanzo vyote nilivyotaja ni haramu

unizitakatisha sasa kwa kuwekeza kwenye biashara au shughuli halali
mfano kununua hisa, kununua majengo ya kibiashara, kununua kiwanda yani wewe weka shughuli yoyote halali.

then unasubiri mapato yatakayopatikana kutoka shughuli halali.



Hasara Umfika Mwenye Mabezo
 
Kwa maana hiyo hizo milion 17 za hao zimepatikana kwa njia hizo tajwa au zilikosa maelezo!
Maana shitaka lao ni utakatishaji pesa haramu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watu hao utawasikia wakihubiria vijana wapige kazi wasikate tamaa watakuja kuwa tajiri na kumiliki biashara kubwa kama yeye

Hasara Umfika Mwenye Mabezo
 
Kwa maana hiyo hizo milion 17 za hao zimepatikana kwa njia hizo tajwa au zilikosa maelezo!
Maana shitaka lao ni utakatishaji pesa haramu

Sent using Jamii Forums mobile app
vyanzo vyako vya mapato vinaainishwa na ukaonekana una pesa mingi zaidi ilivyotegemewa ni dhairi unapiga deals ambazo serikali inapaswa ijue uhalali wake.
hapo litazaliwa na kosa la ukwepaji kodi

Hasara Umfika Mwenye Mabezo
 
Back
Top Bottom