Unajuaje kama huyo sio mmoja wao?Ngoja wenyewe waseme.....Usiwasemeeee.
Hii mada ilishadiskasiwa humu muda si mrefu, i hope mods wataunganishauchunguzi uliofanyika hivi karibuni katika nchi za kiafrika umeonyesha kuwa ,wanaume waliotahiriwa wana uwezekano wa kutoambukizwa ukimwi kwa asilimia hamsini.UJUMBE; tuwapeleke watoto wetu wakatahiriwe na wale wakubwa ambao bado, tuwashauri wakatoe,waache woga.
uchunguzi mfu huo,
naona watu mnajaribu kuungana kumkosoa Mungu.................... haya bwana................
kama kuna dakitari tunamwomba ushauri.je ni umri gani kitaalam mtoto inafaa kutahiriwa?
Haina maana ya kuwa kama umetahiriwa ndo ule bila kunawa hapana nilazima kuwa makini na magonjwa ikiwemo UKIMWI ila takwimu zinaonesha watu ambao bado wanafuga kale kanyama wapo kwenye hatari zaidi ya kuambukizwa kuliko waliokanyofoa.........Kwa hiyo hawa wanaume waliopata ukimwi wote hawajatairiwa?
Jamani wanaume muwe makini, msije mkatembeza midudu yenu ovyo ovyo bila kutumia condom kisa umetahiriwa shauri yenu.
HIV haichagui uwe umetahiriwa au hujatahiriwa kama unapenda kufungua zipu yako kwa kila mwanamke unayemuona utaukwaa tu.
we waache tu mtu wangu, sasa kwa nini tulizaliwa na kale kanyama? maana mimi nimeshtukia tu wazazi walikaondoa wakati mdogo, wakati sijui kazi yake!
Hivi kwa nini wanyama wengine hawatariwi nao?? au hawana magonjwa?
mimi sijajua sababu ya kuondoa mpaka leo, maana watu mnasema magonjwa,. lakini kuna jamii walikuwa wanakaondoa kabla hata ya Masiha kuzaliwa! wakati hamna ukimwi!
au mazoea tu?
Huko Marekani kuna juhudi za kupitisha sheria ya kuzuia wazazi kuwapeleka watoto wao wachanga wa kiume kutahiriwa kwani wanachukulia sawa na ukeketeji na udhalilishaji wa kibinaamu. Wanataka watoto wakiume waache hadi wakiwa watu wazima ndio waamue wenyewe kama wanataka kutahiriwa au la.
we waache tu mtu wangu, sasa kwa nini tulizaliwa na kale kanyama? maana mimi nimeshtukia tu wazazi walikaondoa wakati mdogo, wakati sijui kazi yake!
Hivi kwa nini wanyama wengine hawatariwi nao?? au hawana magonjwa?
mimi sijajua sababu ya kuondoa mpaka leo, maana watu mnasema magonjwa,. lakini kuna jamii walikuwa wanakaondoa kabla hata ya Masiha kuzaliwa! wakati hamna ukimwi!
au mazoea tu?
basi acheni na kukata kucha, kunyoa nywele (sehemu zote), kutoga masikio, nk. ...
think about it... kama kucha ni uchafu, kwanini vingine viwe kumkosoa mungu?