Kutahiriwa kwa wanaume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutahiriwa kwa wanaume

Discussion in 'JF Doctor' started by Tall, Mar 9, 2010.

 1. T

  Tall JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  uchunguzi uliofanyika hivi karibuni katika nchi za kiafrika umeonyesha kuwa ,wanaume waliotahiriwa wana uwezekano wa kutoambukizwa ukimwi kwa asilimia hamsini.UJUMBE; tuwapeleke watoto wetu wakatahiriwe na wale wakubwa ambao bado, tuwashauri wakatoe,waache woga.
   
 2. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  uchunguzi mfu huo,
   
 3. Mapondela

  Mapondela JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwani vipi kaka mbona unakataa ushauri ?????
   
 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,029
  Trophy Points: 280
  Kiongozi vipi? Bado?
   
 5. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  hahaha jamani mie sipati picha baba mtu mzima hajatahiriwa :(
   
 6. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  source plse!!!!:confused:
   
 7. T

  Tall JF-Expert Member

  #7
  Mar 10, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Hapo hapo mzee chukua hii source, ukurasa wa 24 pragraph ya 9 ya kijitabu cha Talking about aids - handbook for peer educators, kimetolewa Dar es salaam, August 2008 kwa msaada mkubwa wa german development cooperation through GTZ na AIDS buisness collition Tanzania (ABCT) the forword of this handbook was signed by Dr Fatma Mrisho of TACAIDS.
  Ushauri wangu upo pale pale,tuwashauri vijana au hata wakubwa ambao bado,waende wakatoe ile nanihii ili wawe AIDS riskfree by at least 50% kuna tatizo gani?.Hata hivyo huu ni ushauri tu.Nisameheni sana kama nitawakwaza baadhi ya wana JF.
   
 8. JM Aristotle

  JM Aristotle Senior Member

  #8
  Mar 10, 2010
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huo ni ukweli usiopingika!
  Sometimes tupunguze ubishi wajameni! au siyo???
   
 9. Sydney

  Sydney Senior Member

  #9
  Mar 10, 2010
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani kweli ambao bado manayo na mshakuwa wakubwa mkayatoe jamani, sio ukimwi tuu, hata mwanamke utakayempata utampa taabu sana kama utakuwa na hilo dubwana.
   
 10. T

  Tall JF-Expert Member

  #10
  Mar 10, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Poooooooooooooooint. kweli umenena
   
 11. T

  Tall JF-Expert Member

  #11
  Mar 10, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Wapo wabishi toka kuzaliwa,akina tomaso wa kwenye biblia
   
 12. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #12
  Mar 10, 2010
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,868
  Trophy Points: 280
  Nilichosikia kwa akina dada walio wengi, wanapenda wenye magovi, wanaclaim kuwa inasisimua wakati wa maakuli, reached a point I wanned t back, but ndo hivo.
  Ushauri:
  Kama ww bado, hata usiende kutoa, kama swala la ukimwi, u'v 2b mwaminifu, piriodi))))
   
 13. T

  Tall JF-Expert Member

  #13
  Mar 10, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Ngoja wenyewe waseme.....Usiwasemeeee.
   
 14. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #14
  Mar 10, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Mh! Kweli kabisa wanaweza kuja na uzoefu tofauti tofauti....Ila lile dude nalo khaah!!
   
 15. T

  Tall JF-Expert Member

  #15
  Mar 16, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  sawa kabisa
   
 16. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #16
  Mar 16, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,419
  Likes Received: 3,767
  Trophy Points: 280
  Kuna mijitu mibishi sanaaaaaaaa humu ndani.......... Sometimes the person who gives you the information.....is the SOURCE.......... vingine content ndiyo uthibitisho.................... HIVI MNAPOPEWA TAARIFA ZA MISIBA HUWA MNAULIZA SOURCE..........???
   
 17. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #17
  Mar 16, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  kWANZA LILE DUBWANA LNAWEKA MAUT*K*
   
 18. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #18
  Mar 16, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Dude linabeba uchafu balaa. Ukitaka lichungulie kama unalo. Lazima litakuwa na unga unga ulioganda. Sh##t
   
 19. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #19
  Mar 16, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kwa Great thinkers source muhimu mkuu!!
   
 20. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #20
  Mar 16, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  YES, maana wao ndio wenye experience na madude tofauti! Ningewaomba waliopata kutumia madude yote mawili waseme, watakuwa na somo kamili. Ila najua ni vigumu kujitokeza na kuweka bayana kuwa "umewahi kutumia zote mbili" na kwa kiwango gani.
   
Loading...