Kutafuna meno wakati wa usiku

Kutafuna meno wakati wa usiku

Jamani nashindwa kulala mpaka sasa hivi....nmepata mgeni ana sugua meno hatari na nmelala nae room kwangu.

Wengine humu wanamatatizo kama haya au kuzidi haya.
Utakuta mtu anakoroma kama simba au wengine ulala kama anaogelea jamani.

Hivi ni ulemavu,tabia isiyokuwa na dawa au mnafanya makusudi??
Unampiga mwenzio mguu wa mbavu,au unamtia roba kabisaaaaa loooh tubadilike.

Yamenikuta hapa ila kwa kuwa jamii ni hii hii basi tubadilike.Tujifunze kulala vizur sio domo wazi miudenda kuitiririsha.

Hii inaitwa vunja kero......maana kwa utafunaji wa meno na kukoroma sana basi nyumba za kupanga itakuwa kero.Yaani mtu unatafuna meno kama bisi za kukaanga
Mvumilie nae sifikirii kama anataka iwe hivyo
 
Nilisikia eti kunasababishwa na uwepo wa idadi kubwa ya minyoo..sijui kama Kuna ukweli wowote katika hili.
 
tehe tehe tehe tehe tehe labda kweli anatafuna bisi.....poleeeeeeee
 
Unanikumbusha x wangu alikuwa na Hilo tatizo ila sio kila siku na wala haikuwa usiku kucha anasaga meno, vumilia kwa vile ni mpita njia tu, ila hata Kama atakuwa mkazi wa kudumu baada ya muda utazoea.

Daaaaah ndo naamka aiseee.....nmechoka kishenz yaani
 
kuuma meno wakati umelala ni minyoo pure

kukoroma kuna sababu nyingi ikiwamo obesity, ulevi, maumbile nk

sasa na wewe dada huyo wa kuuma meno hivyo umemtoa wapi?? matema??

Daaaaah yaani we acha tu......katokea kwa kina mama huko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom