mkuu kula nanasi kwaitaji nafasi.....wazee wa kipoozei ma doctor vitimbwisi hawajui hilo ulipanic nini kuona kitu kituHabari JF?
Kuna uzi mmoja humu nimeusaka leo siuoni ili nitoe mrejesho, kifupi ulikuwa na namba nyingiiii za machangudoa wa jijini na nzuri zaidi members waliweka na wajihi wa Changu husika.
Hamadi nikapata safari ya jijini na bila ajizi kidume wa mkoa nikachuka namba, nami nikajivika udomo zege wa wanaume wa Dar ili niinjoi mbunye za mteremko kama wao walivyozea!!
Nilipiga ile namba na nikaongea nae sana, mwanzo alijifanya si muuzaji but as muda ulivyoenda na sound zangu za mkoa akakubali mwenyeeewe tukakubaliana bei na akaja nilipokuwa!!
Loh!! Ni toto haswa!! Limesheni ile kitu mnaitaga sijui msambwanda na hipsi za kufa mtu!! Kitu nyeupeeeeee.....!! Very innocent
Kuingia nae room, huwezi amini ule uzuri woooote nikawa siuoni tena!! Nilichoona ni UKIMWI live yaani stimu zote kwishaaaa....!!! Hakuwa na tatizo ila kilichonigharimu ni ile kujua kuwa huyu ni changu daaah yaani shika msambwanda, mahippsi, manyonyo, kiuno, mapaja lakini waaaapi!!
Nilimlipa makubaliano yetu na sana sana tulipiga tu story mbali mbali, akaondoka!! Kumbe udomo zege kipaji kama hujawahi usijaribu!!
Salute kwenu wazee wa Machangu!! Mi yamenishinda, ila uzi wenu ule nimeukubali namba ni za kweli!!
Nawasilisha
mkuu kula nanasi kwaitaji nafasi.....wazee wa kipoozei ma doctor vitimbwisi hawajui hilo ulipanic nini kuona kitu kitu
Mkiacha ku-entertain hii biashara ya kuwafuata hata ongezeko la changudoa litapungua na hatimae kuisha. Wao hawafanyi kwa starehe wanatafuta hela ya kula ila kwa njia isiyo sahihi.Na wadada wanaoujiuza hawautafuti?? Hapo hakuna side ya lawama ni wote wote!!
..ustuchuze wewe na hekaya zako!videmu vyenyewe nyie vya kutongoza mwaka mzima?kafieni mbele..demu mzuri kitaani kwenu,malaya kitaani kwetu!Mkiacha ku-entertain hii biashara ya kuwafuata hata ongezeko la changudoa litapungua na hatimae kuisha. Wao hawafanyi kwa starehe wanatafuta hela ya kula ila kwa njia isiyo sahihi.
..ustuchuze wewe na hekaya zako!videmu vyenyewe nyie vya kutongoza mwaka mzima?kafieni mbele..demu mzuri kitaani kwenu,malaya kitaani kwetu!
Maisha yanasonga!
WenZetu nyie n malaika hamna mihemko kabisa eeMnapendaga kuutafuta UKIMWI kwa sifa nyie aaghhhh...hebu acheni hizi mambo wakaka.
hahahaha...jamaa si rijali huyo, hata ukimpa alcochol atabaki anashangaaHahahah! Kijana kama kichwa chako hakiwezi kuhandle hivi vitu kikiwa intact, hebu jaribu kukiweka under influence of alcohol.