hali kama hii ilishawahi kumtokea mshikaji wangu ambae ndo kwa mara ya kwanza anaenda kugonga chura...alipofika room jogoo akagoma kudinda,kila anavofanywa na chura ngoma wapi!mwisho jamaa akasema hawezi kuendlea lbd wafanye romance na huyo dada ndo huwenda akadinda,dada akamwambia kweny kazi zetu huwa hakuna iyo mambo ya kuchezeana,kama umeshindwa niache nikatafute wateja wengine. Eti kajamaa kakadai pesa yake,dada akamgomea akamwambia pesa hairudishwi na kama kushindwa umeshindwa mwenyw,nani akae uchi mbele yko burebure?jamaa akaomba arudishiwe japo nusu ya gharama,dada poa pia akamgomea,msela ilibidi tu kuaga uku akijikuna kichwa,alipokuja kutuhadithia tulicheka sana.ila tukamuambia ni ishu za kisaikolojia tu na hofu,mana jamaa alizani ndo hamna tn...jamaa ili kuhakikisha akaenda kushtua na punyeto kdg.