Kususia uchaguzi.

h.imani

Senior Member
Oct 2, 2011
189
94
Naomba kufahamu, kususia uchaguzi kwa sababu maalumu ya absence of new constitution in order to have free and fair electro committee, je!! Utakuwa umekiuka sheria gani? Na impact yake ninini?
 
Kunamaana ipi kama unaingia kwenye uchaguzi mawakala hawashuhudii kinachojiri chumba cha kupiga kura..... Bora wapite bila kupingwa kuliko kupoteza fedha...
 
Back
Top Bottom