NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,380
- Thread starter
- #161
Oooooh umekereka eeh,sasa kwahisani yako usikereke,pita kimnya kimnya usitoe POVU ukazidi kujikera,au kama nimekukera kwa kauli yangu wacha ni apologies SAMAHANI sana kama nimekukera..Umenikera sana na kauli zako. Why unaita watu mijitu.
Huna adabu wewe mwanamke