NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,388
Habari Wana Chit-Chat,
Naomba kuuliza Wanawake wenzangu, Nilimuona Shogangu kasuka zile nywele za kimasai nikazipenda sanaa sasa nikasema niende na kwakweli sijasuka nna miaka kama 10 sababu mr Hataki This time nikamuomba akakubali baada ya miaka 10 ilikua kama bahati.
Kwakua nyewele zangu ndefu sikuhitaji rasta zakuongezea,haya shosti akanipitia J'pili tukaenda kufika macho yakanitoka kumbe wasusi wanaume wa kimasai nikamuliza mbona wanaume kasema ndio wanaojua wacha ushamba wako haya akaongea nao nikaanza kusukwa mmmmmhhh
Wamenizunguka Wamasai wa 5 sasa ule mkao wao yani wanakugusa na madudu yao huyu na wako busy kuongea kikwao sielewi wanasema nini,shoga nae hayupo,mbaya zaid vikoi vyao vinanuka hatari, nilistahmili kama nusu saa simu yangu ilipoita nikawambia waniache, nilipomaliza simu nikawambia ntarudi baadae nikatoa elfu 20 nikasema nakuja waendele na mteja mwengine mpaka nikirejea sikurejea tenaa.
Sasa niulize wadada mnaosuka ivi hii imenitokea mimi tuu au hawa wamasai ndio TABIA YAO?