Glenohumeral joint
JF-Expert Member
- Oct 29, 2017
- 2,055
- 2,914
Ni siri yangu.....siwezi anika hapa kusudio languLipi hilo mkuu
Ni siri yangu.....siwezi anika hapa kusudio languLipi hilo mkuu
ha ha ha ulilijuaje?Ni siri yangu.....siwezi anika hapa kusudio langu
Will you marry me ? [emoji47][emoji47]I dont think i'm called to be someone's wife, but certainly i can see myself being a mother of two children from orphanage centre.....hii ndio naona kusudio langu
ha ha ha It might be,but not sureI dont think i'm called to be someone's wife, but certainly i can see myself being a mother of two children from orphanage centre.....hii ndio naona kusudio langu
Will you marry me ? [emoji47][emoji47]
Mimi sitaweza kupiga goti. [emoji2][emoji2][emoji2]mmmmmnhhhh sijakuona ukipiga goti ki wireless.. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]😉
Through my inner selfha ha ha ulilijuaje?
Ni kweli mkuuha ha ha ha na wengi tunaishi tu ili mradi tunaishi
Lengo kuu na kusudio la kuja duniani ni kumcha MweziMungu
Yaani hapa duniani ni kumcha au kumuabudu baada ya kufa ni peponi, yaani huko ni starehe ya milele, ni sawa na kufanyia kazi boss wako alaf mwisho wa mwezi anakulipa mshahara so unaenda kutumia msharah wako[emoji106]Yani duniani kumcha Mungu mbinguni napo wanasema itakua kuabudu nakusifu miaka yote. Maisha ya binadamu yatakua yanaboa sana
Jibu zur bro God bless u[emoji8]Yaani hapa duniani ni kumcha au kumuabudu baada ya kufa ni peponi, yaani huko ni starehe ya milele, ni sawa na kufanyia kazi boss wako alaf mwisho wa mwezi anakulipa mshahara so unaenda kutumia msharah wako[emoji106]
Pamoja sana mkuu tubarikiweJibu zur bro God bless u[emoji8]