Kusudio lako ni lipi

Kusudio lako ni lipi

Kila mtu aliletwa duniani kwa kusudio maalumu,je kusudio lako umelitekeleza au bado?Au na wewe haujui kusudio lako kama mimi,tunaishi tukitafuta,tunakula na kulea familia na baadaye kungojea siku ya mwisho?
Kama kuna anaye jua kusudio lake bac tufahamishane
 
Yeah namcha Mungu, ingawaje mara kidogo sana nakosea kama binaadam tulivyoumbwa kukosea ila pia naomba msamaha kila ninapokosea
ha ha ha ha fungu la kumi unatoa kwa uaminifu bila kupunja
 
Kuna jamaa ukifika kwenye makanisa yao au kwenye mikutano yao utakuwa wanawamezesha wafuasi kwao kuhusu hizo idea za "kusudi/purpose".
 
Back
Top Bottom