Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,679
- 5,165
Pole sana usikate tamaa kuna faraja baada ya dhiki na kuna watu wapo mtaani 5 years with no jobs but wamesoma [HASHTAG]#dont[/HASHTAG] give uphabari wadau!mm ni mwanafunzi ambaye mwaka huu nilitarajiwa kuwa chuo mwaka wa kwanza TEKu ila kwa hali ilivyokuwa kusoma basi.mikopo 0 basi hata hali ya uchumi kwa wazazi basi iwe nzur but nimbovu kabisa hivo kuanzia sasa nimeamua kusubiri ajira nac kusoma tena labda miaka 4 mbele.kama una ushauri ntaupokea ahsanteni.

Huu ni uchocheziWote mnabwabwaja tu. Hapo mdau mbaya wako ni Magu. Basi hakuna mwingine