Kusoma tena basi..

Kusoma tena basi..

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,652
Reaction score
5,133
Habari wadau!

Mimi ni mwanafunzi ambaye mwaka huu nilitarajiwa kuwa chuo mwaka wa kwanza TEKU ila kwa hali ilivyokuwa kusoma basi.

Mikopo 0 basi hata hali ya uchumi kwa wazazi basi iwe nzur but nimbovu kabisa hivo kuanzia sasa nimeamua kusubiri ajira nac kusoma tena labda miaka 4 mbele.

Kama una ushauri ntaupokea ahsanteni.
 
habari wadau!mm ni mwanafunzi ambaye mwaka huu nilitarajiwa kuwa chuo mwaka wa kwanza TEKu ila kwa hali ilivyokuwa kusoma basi.mikopo 0 basi hata hali ya uchumi kwa wazazi basi iwe nzur but nimbovu kabisa hivo kuanzia sasa nimeamua kusubiri ajira nac kusoma tena labda miaka 4 mbele.kama una ushauri ntaupokea ahsanteni.
Pole sana usikate tamaa kuna faraja baada ya dhiki na kuna watu wapo mtaani 5 years with no jobs but wamesoma [HASHTAG]#dont[/HASHTAG] give up
 
Angalia watu waliokuzunguka. Tazama hali zao za kiuchumi, linganisha na elimu zao.

Tambua funguo za maisha si elimu pekee.
Kazi yoyote halali au biashara au kilimo ukifanya kwa juhudi zako zote na ukimanage vzr matumizi utasau umuhimu wa chuo.

Elimu ulonayo hadi form six inatosha kbsa. Mwanaume hachagui pori.
 
Asanteni CCM kwa utawala Bora Ulohimiza Tufyatue Watoto Kwa Neema Ya Elimu Bure... Kumbe bure yenyewe ndiyo hii???
We will meet 2020...
 
Back
Top Bottom