Kusoma Postgraduate (Master/PhD) UDSM majanga

... tena mwanafunzi wa kike upewe supervisor lilevi au limalaya dah; imekula kwako kwa kweli. Utaumia sana.
 
Bado tuna wahadhiri sadist kwenye hii nchi wasumbufi ,sio UD tu Hayo mambo Nadhani African lecturers mfano my friend hapo Kenya alisoma masters yrs Mpk ana graduate alisumbuka mnooo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe sio Tanzania tu Hadi Kwa jirani ni mwendo wa kunyooshana tu. Wa Africa ni ma sadist wengi they feel happy wanapoona wengine wanaumia
 
Aseehhh ...umentisha hapa mwakani nilitaka nifanye master's ila baasi Naona Open inanihusu au SAUT Dar Mimi kero siwezi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wana roho mbaya

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wahadhiri wa bongo wana ulimbukeni mwingi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe sio Tanzania tu Hadi Kwa jirani ni mwendo wa kunyooshana tu. Wa Africa ni ma sadist wengi they feel happy wanapoona wengine wanaumia
Balaa...Yaani halafu alikua lecturer muda wa Shule umeisha anaambiwa arudi KAZI akapewa mwaka mmoja ,akaambiwa akishindwa kugraduate anasimamishwa KAZI
Akakomaaa mnoo ila Hana hamu Tena na Kenya
Maprofesa wa kiafrica Wana roho mbaya sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huyu jamaa Abdallah_Kichwaz ni chawa au yuko kitengo cha kutafuta masoko Udom kwa kuangalia nyuzi zake za nyuma yeye humwambii kitu kuhusu Udom, sasa hali hiyo inapelekea awe na chili kubwa dhidi ya UDSm .

Binafsi mimi Elimu nzima yaTz asilimia kubwa naona kukariri na kusoma vitu ambavyo havina faida, inaweza kuwa mtaala mzuri Pamoja na vitabu mfano A_level Biological science lakini unakuta practicals za mule na vitu vingine hazifundishwi na hata hivyo kuna uhaba wa vitendea kazi na walimu wengi wenye uzoefu kwenye masomo yanayohitajia hivyo vitu.

Mimi nikiwa na pesa kama nikitaka kujiendeleza sitosoma bongo hata wanangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…