Kusoma ni kipaji habari picha

Kusoma ni kipaji habari picha

Mbona povu linakutoka Bro .punguza mzuka halafu achana na kiswanglish hujafika level hiyo .ya Masaki waachie wa Masaki ya kwetu huko uswazi tuhangaike nayo .

Haya nimepunguza lakini uzushi ni tabia ya mapunga wengi hujazuiwa nawe kutumia lugha zote
 
Halafu hapo alikuwa hajasoma na asubuhi anapiga pepa ya mwisho
 
Alafu ndio alikuwa amepiga msuli kwa ajili ya paper ya leo ya STD 7 ila kijeba, nadhani ndio wale wa mpango maamlumu (MEMKWA)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom