Kusoma ni kipaji habari picha

Kusoma ni kipaji habari picha

Kontelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
571
Reaction score
161
Watu wote wangekuwa namna hii F na 0 uraiani zingekuwa nyingi sana.

Usingizi ni kiboko yao...hata Rehema Chalamila alisimamishwa kazi sabab ya usingizi studioni....aliacha idadi ya nyimbo zikipiga akajilaza akijua ataanza kuamka kabla nyimbo hazijaisha mwisho wa siku akapitiliza.
Hakuna asiejua utam wa kusinzia

BigUp usingizi. One Love!
 
Attachments

  • 1410259018922.jpg
    1410259018922.jpg
    53.7 KB · Views: 1,240
Huyo co msomaj anazuga tuu!!! m'bwembwe nying afu anacnzia..hahahahahaa

Watu km hawa ndo wale wakibahatika kumaliza shule zile za mishahara ya chini ya milioni hawataki kuyasikia...kutwa kulalamika eti wamesoma kwa tabu..ha ha ha haaaaa
 
"KUSOMA NI KUELEWA KUKESHA NI MBWEMBWE" nimeona gari imendikwa hivyo sikumbuki ni route gani.
 
Halafu kalala mapema sana angalieni hiyo saa sita kasoro 20 ucku!
 
Watu km hawa ndo wale wakibahatika kumaliza shule zile za mishahara ya chini ya milioni hawataki kuyasikia...kutwa kulalamika eti wamesoma kwa tabu..ha ha ha haaaaa

hapa mzushi anahusika
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ndo ile tunaita(ga) msuli tembo matokeo sisimizi :sleepy::sleepy::sleepy:.
 
Swaga tu hizi. .

Enzi zetu tulikuwa tunawaita wasongo wanalipiwa ada na kijiji ndio maana wanakuwa na manjonjo. ...
 
Sasa ngoja nitafute mshenga naona umenogewa bi mshana kutwa we mzushi tu ..:A S kiss:

mzushi wee ni punga tu halafu ukiongea namimi usilegeze wala kubana sauti wana watazidi kukulegeza nut !! hivi unajua tafsiri ya jina ulilojipachika kwanza? kumbuka perception creates reality...!Ila maashallah mtoto umejaaliwa mdomo mzuri na lipstick juu?
 
Waarabu wa pemba....wajuana kwa Viremba..

Sasa ngoja nitafute mshenga naona umenogewa bi mshana kutwa we mzushi tu ..:A S kiss:
 
Last edited by a moderator:
mzushi wee ni punga tu halafu ukiongea namimi usilegeze wala kubana sauti wana watazidi kukulegeza nut !! hivi unajua tafsiri ya jina ulilojipachika kwanza? kumbuka perception creates reality...!Ila maashallah mtoto umejaaliwa mdomo mzuri na lipstick juu?
Mbona povu linakutoka Bro .punguza mzuka halafu achana na kiswanglish hujafika level hiyo .ya Masaki waachie wa Masaki ya kwetu huko uswazi tuhangaike nayo .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom