Shy land
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 6,245
- 2,848
Maisha ya siku hizi ni kujipanga.
Ukizubaa lazima maisha yatakupanga.
Na usipotumia hakiri lazima utashika panga.
Japo kuwa nimesoma lakini maisha nimeshidwa kuyapanga.
Mmh..! Najiuliza wapi nilipokosea au nirudi shule tena ili niweza kujipanga.
Ajira kwa sasa nimepata lakini hela zote zinakobwa na nyumba za kupanga.
nikisema nitoke mjini,
kijijini nako yaongopa majembe na mapanga.
kweli nimeani dunia ndiye mwalimu wakukupanga.