Kwema wadau humu ndani???
Sema nenoDirisha la maombi ya vyuo vikuu linafunguliwa mwezi ujao.Kwa wanaotarajia kuomba OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA tukutane hapa jamani tujadili mambo kadhaa
Ulifanikiwa kuanza?Wakuu yeyote Mwenye uzoefu na Open University aje atupe mwongozo