Wadau, mtu mwenye degree ufaulu wa G.P.A ya 3.3 anaweza kwenda kusoma masters?
wakuu je mwalimu anaweza kusomea kitu kingine masters tofauti na kozi za ualimu bila kuathiri ualimu wake nkimaanisha wakati yupo masomoni ataendelea kupokea mshahara wake kama kawaida
Nnafanya risech sasa kukamilisha masters yangu UDSM kwa GPA hiyohyoWadau, mtu mwenye degree ufaulu wa G.P.A ya 3.3 anaweza kwenda kusoma masters?
Mi yangu ni 2.75,sijawahi kunyimwa nafasi nilivyoomba kusoma masterz ktk vyuo vyote nilivyoomba,nikachagua chuo kimoja tu,nimesoma na nimemaliza kwa kupata class nzuri tu tena kwenye chuo kinachoheshimika

Hamna GPA ya 2.75! Kwenye cheti
Ila kuna GPA ya 2.7.
Gpa ina one decimal place na inkuwa trancated
Hamna GPA ya 2.75! Kwenye cheti
Ila kuna GPA ya 2.7.
Gpa ina one decimal place na inkuwa trancated[/QUOTE
Nilikosea mkuu,yng ni 2.7 kamili