Kusoma Masters na GPA ya 3.3

Kusoma Masters na GPA ya 3.3

In general 2.7 ndio cut - off, lakini kuna variations between vyuo na hata within chuo. Mfano UDSM kuna course minimum ni 2.7 na nyingine eg siasa ni 3.0 . Vyuo vignette vinaweka cutoff tofauti kati ya wanafunzi wao na wale waliosoma vyuo vingine. So ni vizuri ueleze unataka masters ipi na chuo kipi. Unaweza pia kucheck on-line prospectus ingawa vyuo vingine hawaweki. Pia admission calls - again on line.
 
Hivi vyuo vya kata vitaanzishwa lini?
 
Bosi, unapoambiwa uwe umefanya kazi miaka miwili sio kwamba hiyo ni pre-qualification for the programme you want to get enrolled to pursue a Masters Degree. The general reason is to give you a chance to get more experience in what you want to master- learn about challenges & weaknesses in the field of specialization!

No matter the years you work in area of specialization or not, unless your GPA is 3.5+, you will need to attend a postgraduate course which lasts for 9+ months to qualify for a Masters Degree..

So, if you don't meet minimum requirements of points, don't waste time thinking a 2 year working experience will en-qualify you fora Masters degree programme.......:smile-big::israel:
 
suala upate kazi na salary isome, wemwenye yawezekana G.P.A uliyonayo sio yako uliibia tu!
 
mnakimbilia tu kufanya masterz, fanyakazi kwanza

wengi hawalingani nazo kiuwezo, ukimuweka hapo na degree yake ya pili hovyo point hojaa hakuna

Ushauri wangu

Omba kazi yoyote, na ukiwa umepata kazi ya ulichosomea, ni bora sana,

ikiwa ni private au govt sawa, lakini tumia miaka miwili au mitatu ufanye kazi...kuunganisha kusoma masterz ni sifa za kijinga.

Hivi! ? umemaster nini unachokwenda kusomea?? ni swali halihitaji jibu
Tafakari sana
 
UDSM walinkataa Masters na 3.4 GPA! Nikaenda zangu kwa jirani!
 
Back
Top Bottom