Ngumu sana mamii... Vitabu vingi vya fasihi ya Kiswahili viko maktaba zetu katika mfumo wa hardcopy.... Niko intouch na TUKI, nitashauri kitu kama hicho kwenye kongamano lijalo. Ila kwa sasa tuendelee kutumia njia zilizopo, mfano, unaweza kuwa mwanachama wa TLS, ukipata muda utembelee maktaba zao Tanganyika nzima ujisomee vitabu.