Kusoma chuo na kusoma Advance kama private candidate bora kipi?

swali la ajabuajabu,itabidi ujibiwe kiajabuajabu!

[HASHTAG]#nendachuo[/HASHTAG]
 
swali la ajabuajabu,itabidi ujibiwe kiajabuajabu!

[HASHTAG]#nendachuo[/HASHTAG]
mkuu kama ujui kitu siolazima kucomment swali la mdau limeeleweka...
Bora usome advance private yaani private candidate(PC) maana ni mwaka mmoja tu wakati ukisema usome chuo yaani diploma utasoma miaka miwili tena utatumia gharama kubwa sana tofauti na PC..
note: PC ni nzuri kwa masomo ya arts km ww ni mchepuo wa science sikushaurii saana..
 
Mimi nina mpango wa kusoma both advance PC na chuo.
Ila PC najiandaa kwa miaka miwili!
 
Na mimi nina swali nimemaliza form4 mwaka 2020 nikapata dvs2 ya 21 sikuchaguliwa na serikali nikajiunga private form five 2021 nikafanyiwa usajili wa prems number. Lakini nataka nitafte center ya mtihani sababu gharama ya private imekuwa kubwa je ni sawa?
 
Back
Top Bottom