Kusoma certificate ya clinical in medicine ni miaka mingapi?

Kusoma certificate ya clinical in medicine ni miaka mingapi?

Adjutis Junior

Senior Member
Joined
Mar 1, 2018
Posts
118
Reaction score
23
Habari Wana JF

Nilikuwa naomba kujua clinical in medicine diploma ni miaka 3..
Lakini kwa certificate bado inanichnganya private wengine wanasema miaka 2 wengine 1
Hata government 1 wengine 2 asa inakuaje
 
Nakushauri uende nacte utapata majibu mazuri zaidi na ya uhakika au kama haupo dar ingia website yao kuna namba pale wapigie
 
Back
Top Bottom