Kuna wakati ushauri una nafasi yake kwa Jambo flani, huenda mdau anashindwa kufanya maamuzi, japo hajasema kuw shida ni bajeti au kitu gani, Kama upo vzr vyote vinaweza kwenda ila ujenzi ni gharama kuliko masters,
Ndiyo sababu nimekushauri ukasome mkuu, curriculum design and development ni potential sana kinachobaki ni juhudi zako kuijua kazi baaasi, kujenga utajenga tu mkuu, kwa sasa ukijenga hutajenga mjengo wa maana na utakupa mawazo tu

Kama kichwa kiko Powa kasome ila kama unajijua kichwa kibovu kama Becky hapa usiende kusoma, huko kuna ma SUP ya kutosha, kusoma as an adult is difficult kuna responsibilities nyingi ambazo zinaweza kuwa source of distraction...mtoto sijui kaumwa kifauduro,rent is due n.k kama sio mgumu kusoma utahangaika sana,hio hela na muda utatamani ungeinvest kwenye mambo mengine...