Kusitisha misaada kwa marekani nchini

ashura sadick

New Member
Apr 5, 2016
1
0
Kuna effect gani kubwa tutakayopata kutokana na marekani kusitisha misaada??

Maana naona bwana mkubwa nae hajataka kuwabembeleza.
 
kuna effect gani kubwa tutakayopata kutokana na marekani kusitisha misaada??maana naona bwana mkubwa nae hajataka kuwabembeleza.lol
Effect ilikuwa kudorora kwa usambazaji umeme wa REA vijijini, lakini naona serikali imelifanyia kazi hili na tayari pesa zimeshapatikana.

Lakini kuna kitu kikubwa ambacho watanzania tulikuwa hatukijui, nacho ni kwamba fedha zile zilikuwa zitolewe kwa muda wa miaka mitano, maana yake kila mwaka ni Billioni 200.

Sasa sidhani kama serikali inaweza kutikisika sana ikikosa Billioni 200 kwa mwaka.
 
Bwana mkubwa hajataka kuwabembeleza?!wakati katibu mkuu wizara ya fedha yupo USA tangu majuzi kaenda kubembeleza kwa niaba ya.... Na uku safari za nje kazizuia lol
 
kuna effect gani kubwa tutakayopata kutokana na marekani kusitisha misaada??maana naona bwana mkubwa nae hajataka kuwabembeleza.lol
Kwa sasa kuna athari nyingi tu.
1. Wafadhili wamegundua kuwa sisi ni maskini jeuri.
2. Wamejifunza kuwa huyu jama sio gebwe.
3. Uchumi utayumba kwa sababu, japo hali hii ilitegemewa lkn hakukuwekwa maandalizi ya kulikabili tatizo.
 
Marekani wameshatoa tamko kwamba wataendelea kushirikiana na Tz na ufadhili kwenye miradi mbalimbali unaendelea.
Hapa naona kuna shida, Rais hataki misaada lakini watoa misaada hawataki kuacha kutusaidia.
Inaonekana wanufaika ni wengi kwenye hizo hela
 
Marekani lazima watapetape coz sio peke yao watoa misaada. Na wakitoa msaada wanakuwa wananufaika na mikataba yetu mibovu na ubwege wetu mwingi. Sasa wakiona tumeshtuka lazima wapozepoze kiaina wakijua kuna wachina wako juu ambao mkiingia nao mkataba makini nchi inanufaika pakubwa. Bilioni 200 kwa mwaka ni kitu gani? Wakati Dau akikohoa anatoa 1 BILION cash!!!
 
Back
Top Bottom