Kusinzia Bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kusinzia Bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kifulambute, Jul 22, 2011.

 1. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  wanajanvi naomba mnipe tafsiri ya hili suala la kusinzia bungeni kwa wabunge wa Chama cha Magamba...sijawahi kuona mbunge wa upinzani zaidi ya Mzee wtu mrema akisinzia inamaana wabunge wa upinzani wako active zaidi ya wale wa chama cha magamba? kwa nini tusiwape nchi kwa miezi hata miwili tuone matokeo yake?
   
 2. Dume la Mende

  Dume la Mende JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wacha fix wewe,, Cheyo juzi kati tu hapa kapiga usingizi wa kufa mtu
   
 3. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135

  mwingine nani?
   
 4. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Japo kasinzia lakini akiamka anachangia issue ya ukweli
   
 5. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,604
  Likes Received: 4,727
  Trophy Points: 280
  Aliyekuambia Cheyo ni mpizani ni nani?
   
 6. Bright Smart

  Bright Smart JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 644
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Nadhani ni kwasababu namba ya wabunge wa upinzani ni ndogo ukilinganisha na ya chama cha magamba, kwahiyo ni rahisi kuona wabunge watatu kati ya 200 wamesinzia na ni ngumu kukuta wabunge 3 wamesinzia kati ya 50, ni mtazamo wangu tu huo!!
   
 7. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  Wazee wa magamba hawajielewi wanaongoza kwa kulala then wanataka posho iongezwe.
   
 8. Bright Smart

  Bright Smart JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 644
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  <br><br>Nadhani ni kwasababu namba ya wabunge wa upinzani ni ndogo ukilinganisha na ya chama cha magamba, kwahiyo ni rahisi kuona wabunge watatu kati ya 200 wamesinzia na ni ngumu kukuta wabunge 3 wamesinzia kati ya 50, ni mtazamo wangu tu huo!!
   
Loading...