Kusini

Wang Shu

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
2,573
Reaction score
3,758
Habari
Napenda kutengeneza marafiki wapya jinsia zotena,katika mikoa ya kusini kwa ajiri ya kupeana connection mbalimbali kutembeleana na nk...mf.Mtwara,Lindi,Kilwa and Songea
ur wellcome Pm me plz
 
Hao wengi utawapata tuuuuuu hapa ndipo JF usipate shida chamsingi tulia hapahapa
 
wapenzi gani? wa msondo ama sikinde?
 
Ningependa nipate marafiki na wapenzi katika mikoa ya kusini kwa ajir ya kutembeleana,....

Wewe unapenda kutembelewa?

Siye wengine watu wa pwani kuna maneno tukiyaona yazua utata kidogo...
 
Vichwa vibovu wako fit majibu yao utata mtupu karibu kama unakifua......
 
mpenz m1 anatosha marafik hawana idadi
 
Qualifier;8584637]Wamenzi wa simba au wa yanga?
.....
 
Ngalikihinja;8585331]Mmoja, lakini yeye hanitaki na anataka wengi

nan kakukana! Ngalikihinja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…