Kusini wamlilia Lowassa

Kusini wamlilia Lowassa

Gor

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,791
Reaction score
850
Wakaazi wa mikoa kusini wanauliza ni lini mhe.Lowassa anapelekwa kutambulishwa?Please toeni majibu maana tunaulizwa sana...
 
Ni msimbati au Ntwara wenye shauku ya kukutana na prezidenti mtarajiwa?
 
unazungumzia kusini ipi au huko malangu siku hizi kunakusini?
 
Kwanini unawasemea watu wa Kusini! Unafikiri wote ni nyumbu?
 
Lowasa mali chakavu hafai kwa matumizi yoyote yale.
 
chiumbi nndu cha kumemena, lowasa ni raisi wa tano Tanzania
 
unazungumzia kusini ipi au huko malangu siku hizi kunakusini?

Malangu ndio wapi? Mwaka huu umekaa vibaya kwenu, umezoea kula vya bure. Mmuui tena tembo wetu, amuuzi tena unga.imekula kwenu.
 
Nitamchagua diwani na Mbunge kutoka UKAWA na si zaidi ya hapo. Kwa siye tuaminiao kwenye misingi na tunu Lowassa hachaguliki, kumchagua Lowassa sawa na Kujitia Kidole Matakoni kamwe siwezi,nawatakia kila la kheri muiwezayo kazi hiyo!


unaweza ona unajitia kidole kwa EL, kumbe kuna dole gumba lenye makucha laweza zama loote na kuacha alama za michubuko...pole sana kwa yule kijana ambaye hapendi mabadiliko
 
Back
Top Bottom