Ng'wanamashi
Member
- Dec 30, 2010
- 9
- 0
naomba urekebishe kichwa chako cha habari tafadhali hiyo fedheha unayotaka kufanya
Mkikaa sehemu wote mna akili nzuri hata vitabu vya utambuzi vitakosa soko, huyo msameeni bure ndio mwisho wauwezo wake wakufikiri, angejuwa mbunge John Komba ni jinsi gani huko alisaidia kwa kiasi kikubwa kuiombea kura ccm kwa stlyle ya tienitieni kwa moyooo mmoja asingeongea maneno ya kuwavunjia watu heshima zao. na watu kama hawa ni unskills ndio maana anashindwa kuheshimu vipaji vya watu wengine. kumbuka mkataba wa ajila ya ubunge ni miaka mitano, lakini kipaji ni cha milele. kuna maisha hata baada ya kutokuwa mbunge.
hakuna watu nawachukia km wanaotumia huu msemo wa kusini sijui kaskazini. kwa nini ujumuishe namna hiyo? na lawama nyingine nawatupia watu wangu wanaotoka mikoa ya lindi mtwara ruvuma. wengi wetu tuna ona ni km udhaifu fulani kutokea au kusema natokea mtwara au lindi au ruvuma, utakuta mtu anasema mimi mwenyeji wa mikoa ya kusini au atasema kwetu kusini huko KWA NINI UNAOGOPA KUSEMA NATOKEA SONGEA? au "NTWARA" mimi mbona mtu akiniuliza unatoka wapi namwambia mie kwetu songea sisemi kusini. mbona watu wa morogoro,tanga dodoma, mwanza wanataja mikoa yao bila hofu. tuache hizooo kwenu ni kwenu tu na wewe mleta mada achana na mambo ya kusini taja mikoa otherwise uliwapima lini ukaona wana mapungufu?
Chadema ni mali ya watu wa kaskazini, nilishasema cku nyingi. Kusini mwa Tanzania, hakuna chama cha upinzani. Hata Dr.Slaa hakufika kusini... Kule wilayani..
Ubunge hausomewi ukiwa nje ya bunge. Ukishakuwa mbunge, kwa wabunge wengi wapya, mwaka wa kwanza ni kusoma kanuni na jinsi ya kujenga hoja na kuibua maswali ya nyongeza. Mwaka wa pili, mbunge anapanda daraja na kuanza kuchangia hoja mbalimbali. Mwaka wa tatu anakuwa Senior member. Hivyo, hatutakuwa tumetenda haki kuanza kuwaevaluate wabunge wapya kabla hata hawajaingia bungeni. Tuwe na subira. Kumuita mbunge wa CHADEMA kilaza maana yake wale wote waliomchagua ni vilaza! Kweli hiyo? Mtoa mada omba msamaha kwa hili.
Hehehehe!!Sa sijui mnafanya analysis za aina gani hadi mnatoa hoja au mnakurupuka tu... Kukiwa na wakristo wengi mnasema chama ni cha kikristo, wengine wanaenda mbali zaidi na kusema ni cha kikatoliki... Hamjamaliza mnakuja na mambo ya Kanda, eti wabunge wa kusini hawaongei... Wanadamu hamna wema kabisa zaidi ya kutafuta vijisababu. Kwa taarifa yako Chadema ina wabunge wengi kanda ya ziwa Shinyanga na Mwanza kuliko hata kusini kwako na wote hawajaanza kuongea kwani vikao bado havijaanza bungeni ambako ndio jukwaa lao rasmi la kuongea. Wabunge wa kusini ndo wanaingia bungeni mara ya kwanza na kwakuwa wana busara hawataki kukurupuka kama wewe na kuanza kuongea ongea hovyo kutaka sifa kama Kafulila ili watu wasio na busara na wajinga kama wewe waseme sio vilaza. Miezi miwili ni muda mfupi sana kupima uwezo wa mbunge wakati hajatoa hata hoja moja bungeni. Ficha upumbavu wako mtoa thread
Hehehehe!!
Kimburu kilaza ni mtu gani, wewe ungetumia neno gani?Mshkaji anabonge la point sema tu ametumia lugha ya kise***e. The truth ni kwamba wabunge wa kusini bado wanashindwa kuonyesha kile watu walichokuwa wanakitarajia kutoka kwao ukiwa huku kusini utakubaliana na Nyamgluu. Tunaweza tukasema tuwape muda but I think we have to defend the social trust from the begining because if we will lose it, it will be hard for us to win it back. Sijajua Mbeya but for Iringa Mr Msigwa has to work more harder!!!😛eace:
Somo limekuingia mkuu! kakicheko ka uchungu kamefyatuka. Give them a break its too early to judge them.
Mgalanjuka judging from your response an intelligent person can easily deduce between me and you who has been touched. TOO EARLY TO JUDGE THEM!!!??? How long does a grown man need to see the incompetence in our government institutions? Lissu, Mnyika, Lema, e.t.c wana mda gani katika nyadhfa zao za ubunge.
Attitude yetu ya kuto demand the best from our leaders ndio iliyotuleta huku in the first place. Ah huyo hajazoea tumpeni mda... Mda gani wakati nchi inaliwa.
WaTanzania tuko sluggish sana ni attitudes kama hizi Ulimwengu alisema ni hatari kwa taifa ukizingatia ndio nyie nyie mtaombwa kuchangia uandikaji wa katiba. Hehehe!
[IMG]https://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/misc/quote_icon.png[/IMG] Originally Posted by Nyamgluu [IMG]https://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/buttons/viewpost-right.png[/IMG] Horseshoe nijuavyo mimi kilaza ni mtu mzembe incompetent,kama ina maana tofauti na hio naomba unijuze
I agree with your accusations but partly since people are somehow different. It's unrealistic to expect Sugu or Msigwa to come forth and act just like Mnyika or Lissu although they are counterparts. When was the election? Nyamgluu, these people deserve time before putting them on verdict. I didn't say that we shouldn't demand the best from them, yes we should however we shouldn't accuse those MPs within such a short time and with prejudiced claim like Sugu still practicing music, that's lame. Mnyika has been doing what he does for a while and Tundu Lissu is not a figure to be put in comparison we all know who he is, but this do not demean the competence of others since they may have their own ways of contributing. In a team there should be dissemination of tasks, it's insane for all CDM MPs to be wasemaji hata wakiunda serikali majukumu yatakuwa tofauti. Your main argument was that you haven't heard Msigwa and Sugu speaking (Although I have) and for that you concluded that wao ni vilaza, that is wrong to me (and many of us) because Makamba, Tambwe Hiza and many others do speak regularly and for me they are worst. Our attitude should at least be focused not to judge on exaggerated minor relics otherwise tutaonekana walalamishi tu.