min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,987
- 166,230
Dah niliishindwa labda iwekwe sodaMood yako tu
Dah niliishindwa labda iwekwe sodaMood yako tu
Ndio inatakiwa inyweke na kilainishiDah niliishindwa labda iwekwe soda
Mimi huwa najiuliza:Kaa chini jipe muda kidogo na kutafakari je kusingekuwa na bangi na sigara maisha haya yangekuwaje?
Haki ya nani ni jambo la kushukuru sana.
Mbarikiwe wanangu!
adriz de mbusii
1.Bangi iligunduliwa na mbuzi alikula majani na peke zake akalewa na kufanya vituko vingi,hio ndo stori fupi ya ugunduz wa bangi...Mimi huwa najiuliza:
1. Nani aligundua bangi, tumbaku, mirungi n.k.
2. Alikuwa anafanya nini hadi akagundua mimea hiyo?
3. Je, hakuna mimea mingine ambayo bado haijagunduliwa ambayo inasifa kama bangi, tumbaku n.k
Yan tuna nyanyasika Sana wavutaji,... jamii imekua against na sisi Bila hata kujua uhalisia wanaona Kama tumekata ringi😭Bangi inakuzuia vipi kuishi life poa?
Mbona yale majani nilushawahi kuyatafuna na sikuona chochote. Hata mbegu za bangi nimetafuna sana.1.Bangi iligunduliwa na mbuzi alikula majani na peke zake akalewa na kufanya vituko vingi,hio ndo stori fupi ya ugunduz wa bangi...
3.mimea haipo unajua bangi ni stimulant kwahiyo Kama utapata mmea mwingine ambao ni stimulant bado itaonekana ni bangi tu....
Ndio maana badala ya kutafuta mimea mingine wamejikita kwenye kuzalisha mbegu Bora za kisasa ili kuendana na soko na mabadiliko ya tabia nchi
Wanatubagua for nothing! Wanaepuka kishungi na hawana sababu za msingi! Kila mtu aishi maisha yake!😅Yan tuna nyanyasika Sana wavutaji,... jamii imekua against na sisi Bila hata kujua uhalisia wanaona Kama tumekata ringi😭
Basi u got alot going on with ua laifu😅🙌🏾Mbona yale majani nilushawahi kuyatafuna na sikuona chochote. Hata mbegu za bangi nimetafuna sana.
Umri wako? Nimeanza vuta bange form 1 mpaka sasa muongo na miaka kadhaa ishapita lakini kwenye circle yangu ya ndugu na marafiki ni chini ya watu watatu tu wanajua natumia.Kwan huon vijan wavut bang asilimia kubwa hawana muelekeo wowt wa maisha
bwana mdogo, bangi ni ibada na ina watu wake na wana maisha mazuri tuu kukuzidi.Kusinge kua na bangi life lingekua poah sana
Nitafsirie pliz, maana umenipeleka Markit!Basi u got alot going on with ua laifu😅🙌🏾
markit ndio wapi?Nitafsirie pliz, maana umenipeleka Markit!
Sokoni.markit ndio wapi?
Poyee!Sokoni.
Mi nakaa chini nawaza hivi CCM ingekuwa chama cha upinzani ingekuwaje..Kaa chini jipe muda kidogo na kutafakari je kusingekuwa na bangi na sigara maisha haya yangekuwaje?
Haki ya nani ni jambo la kushukuru sana.
Mbarikiwe wanangu!
adriz de mbusii
Kuhusu matajir io ni Kesi nyingine vip kuhusu Hawa vijan wa mtaan ambao wanashinda vijiwen wanavuta bang na hawana kaz zinazo elewekaHahah hata matajiri wanavuta vzr tu depends na nani anakuzunguka basi! Ndiomaana unaona vijana pekee yao!
Hao ni wapumbavu kimpango wao huwezi kushinda unavuta bangi tu lazima ufanye mambo mengine pia! Ukifululiza hivyo lazima uwe chizi freshy!Kuhusu matajir io ni Kesi nyingine vip kuhusu Hawa vijan wa mtaan ambao wanashinda vijiwen wanavuta bang na hawana kaz zinazo eleweka
Wapih vijan ambao hawana maisha na wanavuta bang na hawaelew wanakupa min na watalala wapibwana mdogo, bangi ni ibada na ina watu wake na wana maisha mazuri tuu kukuzidi.