Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,449
- 101,322
Nakuchagua wewe baby......
Hongereni ! Mnavyojipongeza baada kua kila mmoja wenu kamfanyia mwenza kazi nzuri, sasa hapo kama mna katoto kenu mnakapa udevidi Jairo au ublandina Ninyo
kuna mod mmoja nampendekeza, ila naogopa kumtaja jina wasije wakaninaniliu.....
mi nampendekeza bishanga hebu pigieni kura hili jina tuone,
ila nzuri members wakupendekezeKujipendekeza imo?:wink2:
Yuko tayari kusimikwa Uchifu?
hana tatizo bishanga
ila nzuri members wakupendekeze
huna majina mengine.....
kama Condoleza Rice, Ban Kin Moon etc......