Kusimamia ukucha..

Duh hayaa banah
 
Hii story ipo sana mtaani. Utasikia mtu anajisifia nimepiga shoo mpaka nimesimamia ukucha. Jaman hivi unaweza kusimamia kucha wakati wa game. Mliowahi hembu tupeni experience.
Ni lugha tu hiyo ikimaanisha aliyakamalisha matarajio kwa kiwango cha jiu
 
akhaaa

mwanaume saka helaaaaa!!!
mapenzi baadae
Hela zinatafutwa na mapenzi yanakuwepo.. Kila kimoja na muda wake. Huoni kuna watu wana mihela lakini wanachapiwa na wasukuma mikokoteni
 
Reactions: BAK
sanaa!!
mada gani hizi za watoto wa kiume..
ndo tatizo la kuwa na uhakika wa kula
mngekua hamna uhakika wa kula msingejadili vitu kama hivi
Unataja mada gani bidada??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…