EARPHONE
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 355
- 66
Habari wanaJF!!
Nahitaji msaada naitumia www.yourmuze.fm kusikilizia online radio lkn n za nje 2.
Kuna kipengele cha kuongeza local radio na Wanahitaji Url ili u-add na usikilize{nisaidieni hapo yaan hata sielewi Url n nin na nifanyeje kusikiliza radio za bongo online}
NATUMIA NOKIA 5130