Lakini sasa haya yanatokea ndotoni ukishuhudia mazishi yako mwenyewe.. Yaani watu wanakuzika unajiona live.. Lakini huna nguvu ya kuwazuiaHatari sana ....
Sema nini ? Ni suala la muda tu kila mtu atakufa kwa muda wake ....
inatisha kinoma, ni vile tu pumzi ikitoka hujitambui tena ndio maana unafukiwa
mkuu usiku wa jana nimeota baba yangu mzazi kafariki na tunaenda kumzika..lakini pia usiku wa juzi niliota nipo kwenye hifadhi yaani haya maeneo yaliyotengwa na serikali nahisi kule ilikuwa ni manyara tukawa tunafukuzwa na wanajeshi huku risasi zikitembea yaani kila sehemu tulipoKuota unashuhudia mazishi yako mwenyewe ni ishara ya wazi kuwa umenaswa kwenye rada za ulimwengu wa uchawi, ambapo wachawi na washirikina wanatumia madhabahu zao za giza kuratibu ukomo wa maisha yako kiroho na kimwili.
Katika ulimwengu wa uchawi wa usiku, ndoto hii inaashiria kuwa nyota yako imeshachukuliwa na kuwekwa kwenye vyungu vya kishirikina au pembe za giza.
Wachawi wanapozika kivuli chako ndotoni, wanakuwa wamefunga mafanikio yako yote, kiasi kwamba unakuwa mtu wa kutaabika, kukataliwa, na kila fursa unayoigusa inakauka na kufa kama maiti iliyoko kaburini.Pia, taswira hii inawakilisha dhabihu ya siri inayotolewa na mawakala wa giza au wachawi wa kijadi ili kubadilisha hatima yako na ya kwao.
Huu ni mchezo mchafu wa kiuchawi ambapo afya yako, akili yako, au uzazi wako unachinjwa kiroho kwenye vilinge vyao, huku wewe ukiachiwa magonjwa yasiyoonekana kwa vipimo vya kisayansi na mikosi isiyoelezeka.
Kushuhudia msiba wako mwenyewe kunaashiria kuwa umepigwa na "mshale wa siri" wa roho ya mauti na ufuatiliaji.
Kuna macho ya kichawi yanayotumia viona-mbali vya giza (kama vioo au maji ya matambiko) kufuatilia kila hatua unayopiga, na ndoto hii ni tamko lao rasmi kuwa wameandaa vifungo vya kukumaliza kabla ya wakati wako.Mwisho, ndoto hii inaashiria maagano ya damu na laana za ukoo zilizohuishwa kwenye vilinge vya wachawi wa familia.
Ni ishara kuwa madhabahu za giza za mababu zako zinadai haki juu yako, na wachawi wanaitumia fursa hiyo kukuingiza kwenye kaburi la kiroho ili usifikie kamwe hatima kubwa uliyopangiwa hapa duniani.View attachment 3598075
mimi nimeota baba yangu kafariki na yupo hai.....Ndoto ni rejea ya yale yaliyokwisha tokea na huwa hazina maana yeyote.
Kuota baba yako kafariki wakati bado yupo hai mara nyingi hakuashiria kifo cha kweli, bali huakisi mabadiliko ya kimaisha, hofu zako za ndani, au mwanzo mpya. Ndoto ya namna hii inaweza kukustua sana, lakini kisaikolojia na kiutamaduni hubeba maana tofauti kabisa na unavyoona.mkuu usiku wa jana nimeota baba yangu mzazi kafariki na tunaenda kumzika..lakini pia usiku wa juzi niliota nipo kwenye hifadhi yaani haya maeneo yaliyotengwa na serikali nahisi kule ilikuwa ni manyara tukawa tunafukuzwa na wanajeshi huku risasi zikitembea yaani kila sehemu tulipo
mimi nimeota baba yangu kafariki na yupo hai.....
binadamu mwenye afya njema anaota ndoto kila usiku, ila asilimia kubwa ya watu huwa wanazisahau kabisa sekunde chache baada ya kuamka. Ukweli ni kwamba huwezi kulala bila kuota, isipokuwa tu ubongo wako hauhifadhi kumbukumbu hizo.Sijawahi aisee. Pia sijawahi kuota Jua sijui kwann. Wakati ni kitu kila siku nakiona.
Ndugu mshana,Kuota baba yako kafariki wakati bado yupo hai mara nyingi hakuashiria kifo cha kweli, bali huakisi mabadiliko ya kimaisha, hofu zako za ndani, au mwanzo mpya. Ndoto ya namna hii inaweza kukustua sana, lakini kisaikolojia na kiutamaduni hubeba maana tofauti kabisa na unavyoona.
Inanitokea sana hii.binadamu mwenye afya njema anaota ndoto kila usiku, ila asilimia kubwa ya watu huwa wanazisahau kabisa sekunde chache baada ya kuamka. Ukweli ni kwamba huwezi kulala bila kuota, isipokuwa tu ubongo wako hauhifadhi kumbukumbu hizo.
viapo huwa havina maana yeyote hapa duniani.