Kushtua sio mbaya

Mapuya tele, kitu kinaonekana sio kikali
 
Hamna dawa hapo...njoo ngaramtoni a. Town
 
Mbona umereply kama huoni?

Bulldog umenitukana. Kweli hapakuwa na picha baadaye ndio nikaona picha imewekwa. Take it from me! Kidogo nina kauelewa kadogo ka mambo ya IT, hivyo siwezi kushindwa kuona picha kama ipo!
 
Hiyo makitu inakuwa tamu pale unapo iloweka kwenye gongo then unaikausha, wakati una-inhale pembeni unakiroba. Lazima snoppy doggy akuamkie akikuona.
 
Bulldog umenitukana. Kweli hapakuwa na picha baadaye ndio nikaona picha imewekwa. Take it from me! Kidogo nina kauelewa kadogo ka mambo ya IT, hivyo siwezi kushindwa kuona picha kama ipo!

Sijakutukana mkuu, maana nimeona umereply. Ndo nikashangaa umereply vipi?
 
Wavuta bangi utawajua.

Bangi nibangue nigombee uraisi na nichaguliwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…