Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 11,597
- 16,130
Kameibuka ka mtindo ka hawa wakuu wa wilaya/mikoa kujifanya kuzuia likizo za wafanya kazi kama vile wao ndiyo waliziweka,
Maana naona kama wanavunja sheria kwa kukurupuka. Hasa aliyenikera na kunishangaza ni mkuu wa mkoa Kilimanjaro Mr. Amos Makalla. Alipoulizwa kwa nini na kazuia ili wafanyakazi wafanyeje mdomo wake ulijaa zege hakuwa na hoja.
Je, kuna uwezekano wa kuwashitaki?
- je sheria za mahusiano kazini zinasemaje?
- Je sheria zinasemaje kuhusu likizo ya mfanyakazi?