olonyor engai
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 173
- 49
Sijabisha kuhusu uwezo wa Rais kutangaza au kufuta holiday
nauliza suala la watu kwenda fanya usafi?ni amri?ipo kisheria?au hiari?
Inasema rais ataelekeza namna maadhimisho yanavoweza kufanyika,wala sio amri,ni sheria,LA kufuta likizo ndo sijawahi kulisikia!!!