Kevoo_keroo
JF-Expert Member
- Aug 18, 2015
- 771
- 163
Ukawa baada ya kushindwa urais kesho Itakuwa ni anguko la Chadema kwa miparaganyiko, na ndio utakuwa mwanzo mpya wa kimapinduzi CCM na kuingia kwa ACT kama chama kikuu cha upinzani.
Tushuhudie ninachokisema kesho baada ya Uchaguzi.
Tushuhudie ninachokisema kesho baada ya Uchaguzi.