Kushindwa kwa MIGOMO nchini na KIFO cha CHADEMA

Unamaana CDM wanae Kristo! La haula!

Kupotosha hakutakusaidia maana humu wajingawajinga ni vibaraka wa nape tu. Wengi ni gt! Ninamaanisha wakristu wanae Kristo. Kwani hilo nalo linahitaji elimu ya kata kutambua. Mbona hata ilimu ahera inafundisha hivyo!
 
Weka ushahidi wa jinsi Chadema inavyo ratibu na kufadhili migomo hiyo vinginevyo tuamini kuwa ubongo wako umechanganyika na kinyesi hivyo lolote toka kwako ni uharo tu. Kwa taarifa yako kilaza wewe Chadema itakamata dola kwa kuungwa mkono na wabongo waliochoshwa na utawala dhalimu na dhaifu wa chama chenu cha mafisadi.
 
Hakika siasa ya Tanzania ina mahesabu yake, CUF miaka ya kati toka mfumo wa vyama vingi ulipoanza kilitisha sana kama Chama,kikajipambanua kama Chama mbadala nchini,ghafla CCM na makechero wakapanga na kutekeleza kwa akili sana mpango wa.kuhakikisha wanakimaliza kabisa Chama hicho,mpaka sasa kwa hakika CUF kwishney!!

Dalili za mwanzo za kufa kwa CUF ilikuwa ni kuanza ku flop kwa mipango yake mingi,tofauti na mwanzo ambapo walipanga nq kutekeleza mipango mingi sana kwa mafanikio,ghafla kila wakipanga inaharibika njiani na watawala wakawa hawana pressure nao tena.

Ukiangalia kwa makini Chadema imefuata njia hiyohiyo. Sijui kwanini hawakuliona hili wakakwepa anguko hili. Angalia jinsi migomo mbalimbali inayofadhiliwa na kuratibiwa na CDM inavyo flop! Waalimu mara zote imeflop,madaktari nayo imebuma!
HAKIKA KIFO CHA CHDEMA.HAKIEPUKIKI KWASASA!
Kuna uhusiano gani kati ya Migomo na Chadema, na je kwako wewe kushindwa na kufanikiwa kwa migomo una kipimo gani. Hizi akili za kushindwa kutatua matatizo ya wananchi alafu mkasingizia Chadema kuhusika na wananchi kudai haki zao, mwaka huu haitawasaidie (WEWE na CCM yenu)
 
Tatizo wakiristo walikivamia hiki cDM na kuona ndio muokozi wao ,yaani waliona kuna padre wakaona ni mwenzao kumbe patupu jamaa amevaa ngozi ya kondoo .
Masaburi yako mpaka uyaelekeze kwenye udini ndiyo upate kupumua. Try to think out of the box.
 
Njaa ni mbaya sana, wewe nena elimu yako ya Certificate hapa ndio ulipofika ukomowako wa kufikiri yote hii ni njaa!!
 
Hakika siasa ya Tanzania ina mahesabu yake, CUF miaka ya kati toka mfumo wa vyama vingi ulipoanza kilitisha sana kama Chama,kikajipambanua kama Chama mbadala nchini,ghafla CCM na makechero wakapanga na kutekeleza kwa akili sana mpango wa.kuhakikisha wanakimaliza kabisa Chama hicho,mpaka sasa kwa hakika CUF kwishney!!

Dalili za mwanzo za kufa kwa CUF ilikuwa ni kuanza ku flop kwa mipango yake mingi,tofauti na mwanzo ambapo walipanga nq kutekeleza mipango mingi sana kwa mafanikio,ghafla kila wakipanga inaharibika njiani na watawala wakawa hawana pressure nao tena.

Ukiangalia kwa makini Chadema imefuata njia hiyohiyo. Sijui kwanini hawakuliona hili wakakwepa anguko hili. Angalia jinsi migomo mbalimbali inayofadhiliwa na kuratibiwa na CDM inavyo flop! Waalimu mara zote imeflop,madaktari nayo imebuma!
HAKIKA KIFO CHA CHDEMA.HAKIEPUKIKI KWASASA!

Uvivu wa kufikiri,hoja mufilisi na uongozi dhaifu ndicho kinachowasumbua
 
Muda wa kudanganya watu wote ulishaisha. Pole sana dhaifu wa kuchelewa sana kujua hilo Honey K.
 
Last edited by a moderator:
Hakika siasa ya Tanzania ina mahesabu yake, CUF miaka ya kati toka mfumo wa vyama vingi ulipoanza kilitisha sana kama Chama,kikajipambanua kama Chama mbadala nchini,ghafla CCM na makechero wakapanga na kutekeleza kwa akili sana mpango wa.kuhakikisha wanakimaliza kabisa Chama hicho,mpaka sasa kwa hakika CUF kwishney!!

Dalili za mwanzo za kufa kwa CUF ilikuwa ni kuanza ku flop kwa mipango yake mingi,tofauti na mwanzo ambapo walipanga nq kutekeleza mipango mingi sana kwa mafanikio,ghafla kila wakipanga inaharibika njiani na watawala wakawa hawana pressure nao tena.

Ukiangalia kwa makini Chadema imefuata njia hiyohiyo. Sijui kwanini hawakuliona hili wakakwepa anguko hili. Angalia jinsi migomo mbalimbali inayofadhiliwa na kuratibiwa na CDM inavyo flop! Waalimu mara zote imeflop,madaktari nayo imebuma!
HAKIKA KIFO CHA CHDEMA.HAKIEPUKIKI KWASASA!

Najua viroba ndio vinavyoharibu watu wengi kwa sasa, maana bei ya bia kwa sasa haikamatiki!
 
wewe unatembea huku umekufa, migomo ya watumishi kudai haki zao ilianza miaka mingi hata CDM na CCM vilikuwa havijaanzishwa. Unatuambia hata marehemu mzee Kawawa enzi anadai haki za wafanyakazi kutoka serikari ya wakoloni alitumwa na CDM? Acha kuwa mzembe wa kufikiri, fikiri kwanza kabla ya kuandika.
 
Tatizo wakiristo walikivamia hiki cDM na kuona ndio muokozi wao ,yaani waliona kuna padre wakaona ni mwenzao kumbe patupu jamaa amevaa ngozi ya kondoo .

this is how you can defend your topic?

Your sick
 
Hakika siasa ya Tanzania ina mahesabu yake, CUF miaka ya kati toka mfumo wa vyama vingi ulipoanza kilitisha sana kama Chama,kikajipambanua kama Chama mbadala nchini,ghafla CCM na makechero wakapanga na kutekeleza kwa akili sana mpango wa.kuhakikisha wanakimaliza kabisa Chama hicho,mpaka sasa kwa hakika CUF kwishney!!

Dalili za mwanzo za kufa kwa CUF ilikuwa ni kuanza ku flop kwa mipango yake mingi,tofauti na mwanzo ambapo walipanga nq kutekeleza mipango mingi sana kwa mafanikio,ghafla kila wakipanga inaharibika njiani na watawala wakawa hawana pressure nao tena.

Ukiangalia kwa makini Chadema imefuata njia hiyohiyo. Sijui kwanini hawakuliona hili wakakwepa anguko hili. Angalia jinsi migomo mbalimbali inayofadhiliwa na kuratibiwa na CDM inavyo flop! Waalimu mara zote imeflop,madaktari nayo imebuma!
HAKIKA KIFO CHA CHDEMA.HAKIEPUKIKI KWASASA!
toaa kelele zako wew.peleka kwa waliokutuma
 
Du!Kweli nimekubali akili zako zimepelekwa Mabwepande .Naamin huko Mabwepande walikutoa brain badala ya kucha na meno.lol
 
Serikali dhaifu ukimbilia kulaumu- ukweli ni uhuru.

Chadema ni chama himara ndio maana unaota kianguke- ukweli ni uhuru.

Subiri na mgomo wa walimu useme ni cdm!
 
Tatizo wakiristo walikivamia hiki cDM na kuona ndio muokozi wao ,yaani waliona kuna padre wakaona ni mwenzao kumbe patupu jamaa amevaa ngozi ya kondoo .

Pole weeeee.baada ya propaganda za kusema cdm ni chama cha Kikristo kushindwa sasa unahaha.Nasema tena poooole kubwa kawadanganye wasioelewa kuchambua mambo.Vipi wakina Zitto dini gani?wenzio tunaelewa mwiba wako hautuchomi.
 
Tatizo wakiristo walikivamia hiki cDM na kuona ndio muokozi wao ,yaani waliona kuna padre wakaona ni mwenzao kumbe patupu jamaa amevaa ngozi ya kondoo .

Shida ya kuwa mfuasi wa usichokijua ndio hii! Utapata depression bure!
 
Akili ndogo kuongoza akili kubwa. Sikuwa nimesikia Falsafa hii kabla Mh. Msigwa hajaisema lakini niweke wazi kuwa ndio inayosumbua Uongozi wa Taifa hili na hata mleta mada.

Yaani migombo inashindwa kutatuliwa ili Chadema ipate anguko!! I don't get it!! At the same time hakuna anayejaribu kusema Chadema imevunja masharti ya kuwa chama cha siasa na kuomba kifutwe. Ni akili ndogo hii ndio itaiangusha CCM. You heard it here first!!
 
Back
Top Bottom