Kushindwa kwa MIGOMO nchini na KIFO cha CHADEMA

magamba yana tabu sana, acha akili mgando bwana, unaushahidi that cdm ndio wanao fadhili migomo au una ropoka ropoka tu toa hoja za msingi na sio ndoto zako................
 
CDM inafanywa iishi na wananchi wenye mapenzi mema ambao ni wengi, kwa hiyo kufa kwake ni kuua wananchi karibia wote, ccm inafanywa iishi na mafisadi ambao mpaka sasa wamebaki zero point %, so karibu tunawamaliza na ife rasmi
 
Hakika siasa ya Tanzania ina mahesabu yake, CUF miaka ya kati toka mfumo wa vyama vingi ulipoanza kilitisha sana kama Chama,kikajipambanua kama Chama mbadala nchini,ghafla CCM na makechero wakapanga na kutekeleza kwa akili sana mpango wa.kuhakikisha wanakimaliza kabisa Chama hicho,mpaka sasa kwa hakika CUF kwishney!!

Dalili za mwanzo za kufa kwa CUF ilikuwa ni kuanza ku flop kwa mipango yake mingi,tofauti na mwanzo ambapo walipanga nq kutekeleza mipango mingi sana kwa mafanikio,ghafla kila wakipanga inaharibika njiani na watawala wakawa hawana pressure nao tena.

Ukiangalia kwa makini Chadema imefuata njia hiyohiyo. Sijui kwanini hawakuliona hili wakakwepa anguko hili. Angalia jinsi migomo mbalimbali inayofadhiliwa na kuratibiwa na CDM inavyo flop! Waalimu mara zote imeflop,madaktari nayo imebuma!
HAKIKA KIFO CHA CHDEMA.HAKIEPUKIKI KWASASA!

You must be sick in your head and heart
 
Argument iko very weak.
Inaelekea safari hii mmemwagwa wengi sana hapa mtandaoni mnagongana wenyewe kwa wenyewe.

Mnajitahidi.

Kama shibe yako inategemea chochote kidondokacho kutoka mezani pa bwana wako.
Tangazo la kupungua share ya ulaji wa bwana wako ni mauti na kiama kwako.
Naamini hata bila kutumwa wala kuelekezwa utabweka kwa nguvu zako zote kuilinda meza ya bwana wako.
Taabu ya kuishi kikupe na kutegemea bwana wako anakula kizembe kiasi gani ndo hii.

Makombo yana nenepesha na yana utamu wake.

Hongera.

Hakika siasa ya Tanzania ina mahesabu yake, CUF miaka ya kati toka mfumo wa vyama vingi ulipoanza kilitisha sana kama Chama,kikajipambanua kama Chama mbadala nchini,ghafla CCM na makechero wakapanga na kutekeleza kwa akili sana mpango wa.kuhakikisha wanakimaliza kabisa Chama hicho,mpaka sasa kwa hakika CUF kwishney!!

Dalili za mwanzo za kufa kwa CUF ilikuwa ni kuanza ku flop kwa mipango yake mingi,tofauti na mwanzo ambapo walipanga nq kutekeleza mipango mingi sana kwa mafanikio,ghafla kila wakipanga inaharibika njiani na watawala wakawa hawana pressure nao tena.

Ukiangalia kwa makini Chadema imefuata njia hiyohiyo. Sijui kwanini hawakuliona hili wakakwepa anguko hili. Angalia jinsi migomo mbalimbali inayofadhiliwa na kuratibiwa na CDM inavyo flop! Waalimu mara zote imeflop,madaktari nayo imebuma!
HAKIKA KIFO CHA CHDEMA.HAKIEPUKIKI KWASASA!
 
Sio siri natamani nikutukane lakni naogopa ban,nimeamini kweli ccm ina majitu ya ajabu..wakigoma wanafunzi wa vyuo chadema,wakulima chadema ,walimu chadema,leo madaktari chadema..mwisho wa cku mtagombana na wake zenu mseme chadema.kweli yakubidi kuwa mjinga sana ili ukubaliane na ccm na hili mnalidhihirisha hata kwa post zenu nyie ma ccm.mtashindana lakni hamtashinda majambazi nyie...
 
​elimu yako ni kiwango gani vile?
Hakika siasa ya Tanzania ina mahesabu yake, CUF miaka ya kati toka mfumo wa vyama vingi ulipoanza kilitisha sana kama Chama,kikajipambanua kama Chama mbadala nchini,ghafla CCM na makechero wakapanga na kutekeleza kwa akili sana mpango wa.kuhakikisha wanakimaliza kabisa Chama hicho,mpaka sasa kwa hakika CUF kwishney!!

Dalili za mwanzo za kufa kwa CUF ilikuwa ni kuanza ku flop kwa mipango yake mingi,tofauti na mwanzo ambapo walipanga nq kutekeleza mipango mingi sana kwa mafanikio,ghafla kila wakipanga inaharibika njiani na watawala wakawa hawana pressure nao tena.

Ukiangalia kwa makini Chadema imefuata njia hiyohiyo. Sijui kwanini hawakuliona hili wakakwepa anguko hili. Angalia jinsi migomo mbalimbali inayofadhiliwa na kuratibiwa na CDM inavyo flop! Waalimu mara zote imeflop,madaktari nayo imebuma!
HAKIKA KIFO CHA CHDEMA.HAKIEPUKIKI KWASASA!
 
Hakika siasa ya Tanzania ina mahesabu yake, CUF miaka ya kati toka mfumo wa vyama vingi ulipoanza kilitisha sana kama Chama,kikajipambanua kama Chama mbadala nchini,ghafla CCM na makechero wakapanga na kutekeleza kwa akili sana mpango wa.kuhakikisha wanakimaliza kabisa Chama hicho,mpaka sasa kwa hakika CUF kwishney!!

Dalili za mwanzo za kufa kwa CUF ilikuwa ni kuanza ku flop kwa mipango yake mingi,tofauti na mwanzo ambapo walipanga nq kutekeleza mipango mingi sana kwa mafanikio,ghafla kila wakipanga inaharibika njiani na watawala wakawa hawana pressure nao tena.

Ukiangalia kwa makini Chadema imefuata njia hiyohiyo. Sijui kwanini hawakuliona hili wakakwepa anguko hili. Angalia jinsi migomo mbalimbali inayofadhiliwa na kuratibiwa na CDM inavyo flop! Waalimu mara zote imeflop,madaktari nayo imebuma!
HAKIKA KIFO CHA CHDEMA.HAKIEPUKIKI KWASASA!

Honey K,

Hebu tupe evidence( angalau vidhibiti viwili tu) vya namna CDM wanavyofadhili mikogomo hapa nchini. Au ndio confession ya Dr. Uli iliyopatika kule Mabwepande?
 
Hakika siasa ya Tanzania ina mahesabu yake, CUF miaka ya kati toka mfumo wa vyama vingi ulipoanza kilitisha sana kama Chama,kikajipambanua kama Chama mbadala nchini,ghafla CCM na makechero wakapanga na kutekeleza kwa akili sana mpango wa.kuhakikisha wanakimaliza kabisa Chama hicho,mpaka sasa kwa hakika CUF kwishney!!

Dalili za mwanzo za kufa kwa CUF ilikuwa ni kuanza ku flop kwa mipango yake mingi,tofauti na mwanzo ambapo walipanga nq kutekeleza mipango mingi sana kwa mafanikio,ghafla kila wakipanga inaharibika njiani na watawala wakawa hawana pressure nao tena.

Ukiangalia kwa makini Chadema imefuata njia hiyohiyo. Sijui kwanini hawakuliona hili wakakwepa anguko hili. Angalia jinsi migomo mbalimbali inayofadhiliwa na kuratibiwa na CDM inavyo flop! Waalimu mara zote imeflop,madaktari nayo imebuma!
HAKIKA KIFO CHA CHDEMA.HAKIEPUKIKI KWASASA!

Mod mpo wapi?
 
Back
Top Bottom