Kushindwa kwa MIGOMO nchini na KIFO cha CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kushindwa kwa MIGOMO nchini na KIFO cha CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Honey K, Jul 7, 2012.

 1. H

  Honey K JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hakika siasa ya Tanzania ina mahesabu yake, CUF miaka ya kati toka mfumo wa vyama vingi ulipoanza kilitisha sana kama Chama,kikajipambanua kama Chama mbadala nchini,ghafla CCM na makechero wakapanga na kutekeleza kwa akili sana mpango wa.kuhakikisha wanakimaliza kabisa Chama hicho,mpaka sasa kwa hakika CUF kwishney!!

  Dalili za mwanzo za kufa kwa CUF ilikuwa ni kuanza ku flop kwa mipango yake mingi,tofauti na mwanzo ambapo walipanga nq kutekeleza mipango mingi sana kwa mafanikio,ghafla kila wakipanga inaharibika njiani na watawala wakawa hawana pressure nao tena.

  Ukiangalia kwa makini Chadema imefuata njia hiyohiyo. Sijui kwanini hawakuliona hili wakakwepa anguko hili. Angalia jinsi migomo mbalimbali inayofadhiliwa na kuratibiwa na CDM inavyo flop! Waalimu mara zote imeflop,madaktari nayo imebuma!
  HAKIKA KIFO CHA CHDEMA.HAKIEPUKIKI KWASASA!
   
 2. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Aliye kulaani hayupo kafa, no research no right to speak.
   
 3. F

  Froida JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Propaganda za kirusi zilisha shindwa nchi ya The Great Russia ilisambaratika mnamo miaka ya tisini ikabaki vipandevipande maana yake mutatengeneza propaganda mutaanguka,wananchi wanaendelea kufa kiburi cha huyu dembe shinda wenu ndio kitakacho angusha utawala wake hili analo Hospitali pekee ya Taifa na rufaa imefungwa kwa wiki mbili sasa yeye anaenda kucheza bao sabasaba liwalo na liwe ndio sera yake Jakaya bwana mchizi kweli
   
 4. a

  actus Senior Member

  #4
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 7, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo wewe unadhani kuendelea kuepo migomo ndio itafanya CDM ichukue dola 2015?mtaalamu CDM hakitegemei kuchukua dola kupitia migomo isiyo na tija.Kama umemsikiliza Dr Slaa anapinga migomo isiyo na maana hata huu wa madaktar. kuna sababu nyingi zaidi zinazofanya CDM ichukue dola 2015.yani kwa kutaja sababu chache tu ambazo watu wa kawaida wanajua na wamechoka ni suala la UFISADI(hapa linajumuisha mambo mengi)naacha na wengine watiririke na sababu kibao.
   
 5. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,948
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  hatudanganyiki! Ulaaniwe
   
 6. Baba Collin

  Baba Collin JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  think beyond reality...
   
 7. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  masaburi hakukosea
   
 8. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #8
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Tatizo wakiristo walikivamia hiki cDM na kuona ndio muokozi wao ,yaani waliona kuna padre wakaona ni mwenzao kumbe patupu jamaa amevaa ngozi ya kondoo .
   
 9. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Hapo kwenye red sidhani kama walikuwa wanatafuta mwokozi maana wanae Kristo!
   
 10. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #10
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  akili zako ni fupi sana, thread zako zote ni za kipumbaf,
   
 11. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #11
  Jul 7, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Honey K, eti hiyo K kwenye id yako ina maana njema kweli au ndo yale mambo yetu?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #12
  Jul 7, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Mkuu unaweza kuthibitisha? Au ndio mambo ya Stella Manyanya? Propaganda haja na kupita, lakini ukweli husimama milele! Take that.
   
 13. M

  Molemo JF-Expert Member

  #13
  Jul 7, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Huyu kichaa naye katokea wapi?
   
 14. i

  ilboru1995 JF-Expert Member

  #14
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,331
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  kweli wewe asali k, wasiwasi wangu si mnato...loh salaleh!!! eti JEMBE ni WAKULIMA na NYUNDO ni WAFANYAKAZI... Haya tuambie ktk hayo makundi ambayo MAGAMBA mnajinasibu kuwa ni msingi wa uundwaji wake, Kundi lipi linafaidika na uwepoji wa CCM madarakani? Adui wenu si CDM... Mmeshindwa kutumia rasilimali lukuki tulizojaliwa na ALLAH S.W.T kwa manufaa ya Watanzani, kila kukicha inakuwa bora ya jana, MAISHA MAGUMUU... isingekuwa issue kama wananchi wangekuwa hawajitambui! sasa wameamka, hofu imewabamba mnatapatapa....
   
 15. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #15
  Jul 7, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Join Date : 22nd June 2012
  hata mwezi hujamaliza humu ushaanza kuharisha
   
 16. M

  Molemo JF-Expert Member

  #16
  Jul 7, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mwendawazimu mwingine huyu
   
 17. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #17
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kweli CDM inawakosesha usingizi!
  Ndo mana mnaacha kujadili bajeti ya serikali mnajadili bajeti kivuli ya upinzani.
  Nadhani hata zile meli za Iran zinazopeperusha bendera za Tanzania mmejirdhisha kuwa ni mpango wa Chadema.
  Subirini!
  Kila uchao kuna suprises!
   
 18. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #18
  Jul 7, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  ushambaba tu unamsumbua siku zote huyu

  unaloloma vitu usivyo kuwa data navyo
   
 19. K

  Kikwebo JF-Expert Member

  #19
  Jul 7, 2012
  Joined: Aug 25, 2006
  Messages: 352
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Unamaana CDM wanae Kristo! La haula!
   
 20. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #20
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Huwezi kulinganisha Chadema na CUF. CUF tangu mwanzoni kilikuwa chama kinachoonekana wazi wazi kuwa na walengwa wa dini moja na ndo maana kikawa na nguvu Zanzibar.
  Tatizo siku hizi CCM mmeweka mkakati wa kuja humu jamvini kuweka pumba zenu, lakini safari hii mtachemsha.
   
Loading...