Hujaacha ila umesitisha kwa muda tu..wakuu
mimi nilikuwa sijawahi kupiga punyeto..na wala sikuwa nataka kujaribu maana nilikuwa naona watu wakitafuta kila njia kuacha...
lakini wiki iliyopita niliona uzi unaohusu punyeto humu jf nikaona isiwe tabu ngoja nikajaribu
nikatest...ilikuwa good kwa kweli...siku hiyo nilienda mara tatu...kesho yake mara tatu...na nikasema huu ndo mwisho na sijaenda tena na sina mpango huo tena...acheni uzembe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]Hujaacha ila umesitisha kwa muda tu..
Ha ha ha wewe umenena...Hujaacha ila umesitisha kwa muda tu..
utakuwa ni uchovu tuwakuu