Justine_Dannie
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 1,962
- 1,622
Hili nimeshaliona sana.Habari!
Poleni na msiba wa Ndugu yetu Mutahaba kwa wale wote ambao mmeguswa na msiba huu,Hongereni mliompokea Lowassa na poleni mlio mpoteza.
Kwenye mada moja kwa moja....
Nikiwa katika kituo cha kuweka/kuongeza mafuta kwenye gari, hua kuna kitu kinanishangaza kidogo,
Ni hivi,
Anaweza tokea bwana/Bibi mmoja anaweka mafuta mpaka tanki lijae (full tank), Kisha baada ya kujaa mtu huyo huanza kulitikisa gari kana kwamba anashindilia mafuta yaendelee kuingia ilihali mashine ya mafuta imeshakata ishara ya kwamba mafuta hayana tena pa kwenda na wakati huo huo anayaona kwa macho kwamba mafuta yapo pomoni kabisa.
Swali langu..
Je kitendo hiki ni mbwembwe au kina mantiki fulani, au baada ya kitendo hicho Kuna sehemu mafuta huingia na kutengeneza nafasi kwa mafuta mengine kuendelea kuingia?
Maana nijuavyo mimi mafuta ni kimiminika (liquid) huwezi shindilia..maana dumu la maji likijaa pomoni,huna cha kufanya kutengeneza nafasi zaidi bila ya kupunguza kilichomo..
Naomba ufafanuzi wakuu.
Asubuhi njema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili nimeshaliona sana.
Kiuhalusia chombo kikishajaa kimeshajaa sasa hizi mbwembwe sijui inakuaje.
Ngoja sisi wapanda daladala tupite kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi huwa najiuliza.Habari!

Ni kawaida tu hiyo,hata huku tunako beba box sometimes unatingisha gari ili mafuta yaliyobaki yaingie japo ni kiasi kidogo tu,sometimes hali hii hutokea ili tu kukamilisha hesabu iwe kamili au kukamilisha idadi ya lita za ujazo.
Huwa yanasogea,. Kuna namna mbiliHili nimeshaliona sana.
Kiuhalusia chombo kikishajaa kimeshajaa sasa hizi mbwembwe sijui inakuaje.
Ngoja sisi wapanda daladala tupite kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kukamilisha lita za ujazo na maanisha kua,kwa mfano inaweza kua imebaki kiasi kidogo ili ukamilishe lita 10,kumbuka gari sio sawa na dumu,kwenye tank la gari kuna pipes ambapo mafuta hayo hupita kwenda kwenye engine ya gari,unapotingisha unaforce mafuta kwenda sehemu kama hizo."Kukamilisha lita za ujazo.."
Unatuaminisha kua kitendo hicho hutengeneza nafasi ya ziada!?
Je kimiminika kinashindilika??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok, iko hivi.Habari!
Poleni na msiba wa Ndugu yetu Mutahaba kwa wale wote ambao mmeguswa na msiba huu,Hongereni mliompokea Lowassa na poleni mlio mpoteza.
Kwenye mada moja kwa moja....
Nikiwa katika kituo cha kuweka/kuongeza mafuta kwenye gari, hua kuna kitu kinanishangaza kidogo,
Ni hivi,
Anaweza tokea bwana/Bibi mmoja anaweka mafuta mpaka tanki lijae (full tank), Kisha baada ya kujaa mtu huyo huanza kulitikisa gari kana kwamba anashindilia mafuta yaendelee kuingia ilihali mashine ya mafuta imeshakata ishara ya kwamba mafuta hayana tena pa kwenda na wakati huo huo anayaona kwa macho kwamba mafuta yapo pomoni kabisa.
Swali langu..
Je kitendo hiki ni mbwembwe au kina mantiki fulani, au baada ya kitendo hicho Kuna sehemu mafuta huingia na kutengeneza nafasi kwa mafuta mengine kuendelea kuingia?
Maana nijuavyo mimi mafuta ni kimiminika (liquid) huwezi shindilia..maana dumu la maji likijaa pomoni,huna cha kufanya kutengeneza nafasi zaidi bila ya kupunguza kilichomo..
Naomba ufafanuzi wakuu.
Asubuhi njema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida umekalia kujua elimu akhera tu,elimu dunia mmeikimbia ndio maana swali kama lako ni rahisi lkn wewe umeona ni 'rocket science'.Mimi huwa najiuliza.
Kama bila mafuta chombo hakitembei sasa yale mafuta ya kwenye tenki yanaishaje na kizibo cha tenki huwa kinafungwa,yanapita wapi mafuta mpaka kuisha na kwenda kusapoti utaratibu nzima wa chbo kutembea?
Wenye magari si mje huku muelezee
Kivipi bro leta hoja kwa hoja..baamit
Nitajibishana nawe kwa hoja endapo tu, utaacha mambo ya kihuni huni,Kivipi bro leta hoja kwa hoja..baamit
we jamaa pimbi sanaMimi huwa najiuliza.
Kama bila mafuta chombo hakitembei sasa yale mafuta ya kwenye tenki yanaishaje na kizibo cha tenki huwa kinafungwa,yanapita wapi mafuta mpaka kuisha na kwenda kusapoti utaratibu nzima wa chbo kutembea?
Shida umekalia kujua elimu akhera tu,elimu dunia mmeikimbia ndio maana swali kama lako ni rahisi lkn wewe umeona ni 'rocket science'.
Sent using Jamii Forums mobile app