Kushika damu ya muathirika wa HIV; unaweza kupata maambukizi?

Babu Kijana

JF-Expert Member
Jan 24, 2013
584
267
Hi all napenda kuuliza hivi karibuni ilitokea rafiki yangu ameshika damu ya muathirika wa ukimwi aliyekuwa akimuhudumia ikamgusa kwenye mkono hakuwa amevaa gloves na wala hakuwa na michubuko. Anaweza kupata maambukizi kwa njia hii? Naomba kwaslilisha
 
Deception alishasema HIV hasababishi AIDS

Muelewe
 
Sidhani kama kuna jibu la moja kwa moja hapa, kwani kuna mambo kadhaa ya kuzingatia.

Kwa mfano, Mtu aweza kuwa na michubuko bila yeye kujijua, na wale virusi hawahitaji michubuko tunayoidhania.

Hata hali ya Mwenye virusi kwa wakati huo pia huchangia kuweza au kutoweza kuambukiza, na kama Mwenye virusi alishaanza kutumia antiretoviral na chance ya kuambukiza inapungua hata kama kutakuwa na contacts.

Muhimu ni kupima kupata uhakika badala ya kukisia.
 
Hi all napenda kuuliza hivi karibuni ilitokea rafiki yangu ameshika damu ya muathirika wa ukimwi aliyekuwa akimuhudumia ikamgusa kwenye mkono hakuwa amevaa gloves na wala hakuwa na michubuko. Anaweza kupata maambukizi kwa njia hii? Naomba kwaslilisha
Hapana kuwa na amani sio rahisi kupata ukimwi
 
Back
Top Bottom