Kuna mingese humu huwa wanaumia sana wakiona kuna binadamu wanaishi ya kawaida mno, kama kwenda kuangalia sinema ni ushoga kutokana na njaa zao zinawafanya wanawashwawashwa, na hapa kwangu ni kupiga za uso wapeleke njaa zao mada zingine huko, wamekimbia wote