dah libaba la minecraft linawatamanii madogo hiliBaba pumbavu hili unapeleka watoto kuangalia movie zilizojaa content LS za ushoga na usagaji halafu unakuja kujitangaza
Ni wewe peke yako Mzee MshambaLeo nimewatoa madogo kwenda kuangalia movie waliokuwa wanaisubiria kwa hamu sana ya Minecraft
Aisee, sikujua kumbe leo ndio ilikuwa onyesho la kwanza nchi nzima
Huo Mzuka nilioukuta humo ndani kwa vijana wa mashabiki wa video game ya Minecraft sio mchezo.
Ilikuwa ni miruzi na makofi na kushangilia kwa sana, kila ikitokea sehemu inawakosha , kama I am Steveeee.................... Chicken Jerky......
Zamani wakati tunapelekwa kungalia movie na wazazi huko Empire, New Chox na Odeon cinema, kuangalia movie za kihindi na za Bruce Lee, ilikuwa ni shangwe na makofi mengi ndani ya movie kutoka kwa watazamaji, pale starring anapotembeza mkono.
Nilivyokua kijana nikiwa nikienda mwenyewe na kukutana na hizi kelele na vigelegele ndani ya movie nilikuwa naona ni ushamba sana,
Ila leo nimejiona mimi ni mshamba, sababu madogo na wenyewe kumbe wanacheza sana hiyo game ya Minecraft na wenyewe walikuwa mstari wa mbele kupiga makelele na makofi ndani ya movie , mwanzoni nilikuwa nawakaripia watulie kumbe wananiona dingi mnoko hata kwenye movie, ila baadae hata mimi nilijikuta naanza kushangilia nao na makofi mengi ndani movie.
Kweli uzee ni ushamba....
Mkongwe, acha basi!Baba pumbavu hili unapeleka watoto kuangalia movie zilizojaa content LS za ushoga na usagaji halafu unakuja kujitangaza
Inaonekana maisha yamekupiga haswa, sio kwa povu hili,Baba pumbavu hili unapeleka watoto kuangalia movie zilizojaa content LS za ushoga na usagaji halafu unakuja kujitangaza
Unawaza kufirwa tu chokodah libaba la minecraft linawatamanii madogo hili
Haihitaji kureason na choka mbovu, huwa wanaona kile wasicho na uwezo nao, ni ushogaMkongwe, acha basi!
Ni kweli hii movie ina content za ushoga au hisia zako tu?
Maana Jason Momoa matambala yake huwaga nayaelewa sana!
Kama ina contents zenye ushoga thibitisha ili baadae ikitoka nisije kuchoma MB zangu.
Kama kwenda movie ni maisha ya kishua, basi hii nchi, ina umasikini wa kutupwa, hali sio nzuri kabisaSawa mkongwe, tumeshajua kama umetokea ukoo wa kishua.
Tumeshajua.
sio chuki mkuuu, ww hulijui tuhili lijamaa, content zake humu mda wote ni za upinde upinde na kuwatamani madogoo....ni bonge la mchicha mwiba hili!Watu maskini wasio na uwezo wakiona mtu anafurahi kitu wanaona kama anafanya anasa,sasa mnaumiaje mtu kupeleka vijana cinema wafurahi kama siyo roho ya umaskini.
xumabaako unawashwa choko wewesio chuki mkuuu, ww hulijui tuhili lijamaa, content zake humu mda wote ni za upinde upinde na kuwatamani madogoo....ni bonge la mchicha mwiba hili!
Umemaliza mkuuWatu maskini wasio na uwezo wakiona mtu anafurahi kitu wanaona kama anafanya anasa,sasa mnaumiaje mtu kupeleka vijana cinema wafurahi kama siyo roho ya umaskini.
No reforms. No election.Baba pumbavu hili unapeleka watoto kuangalia movie zilizojaa content LS za ushoga na usagaji halafu unakuja kujitangaza
Tamba tu mtoto wa kishua.Kama kwenda movie ni maisha ya kishua, basi hii nchi, ina umasikini wa kutupwa, hali sio nzuri kabisa
Na nitawashukuru wazazi wangu kwa kujipambania maisha yao. walikuwa wanajua nini maana ya kuleta viumbe wengine dunia,
Nashangaa sana wabongo, mtu akipata uwezo wa kupanga chumba kimoja, anatafuta mke na tayari anaanza kufyatua watoto ambao anawaleta kuishi kwenye umasikini wake,
Sad life......
Cinema sio ushua,elf 6 tuSawa mkongwe, tumeshajua kama umetokea ukoo wa kishua.
Tumeshajua.
Umewahi kusaidia masikini?Umemaliza mkuu
Umasikini ni kitu kibaya sana,
Naaanza kukubalina na hii mada hapo chini...
Usisaidie masikini, acha wafe
USISAIDIE MASIKINI; ACHA WAFE Na, Robert Heriel Umasikini ni laana. Huwezi kuwa masikini kama hujalaaniwa. Ukiona wewe ni masikini jua tayari unalaana, ukiona ukoo wenu ni masikini jua koo yenu mnalaana. Ukiona kabila, taifa au bara lenu ni masikini basi fahamu kuwa hiyo ni laana. Huu ni...www.jamiiforums.com