Kushambuliwa kwa Freeman Mbowe nani anahusika?

SautiYaMnyonge

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2018
Posts
439
Reaction score
742
Awali ya yote niseme katika nchi inayojinasibu kwa amani, utulivu, ustaarabu na kuheshimu utawala wa sheria matukio ya kikatili kama haya ya kupigana risasi, kushambuliana kwa silaha za moto au jadi au kutekana hayakubaliki na hatupaswi kuyaunga mkono zaidi ya kuyakemea na kuyalaani kwa umoja wetu na nguvu zetu zote kwani sio utamaduni wetu watanzania. Miaka 28 ya vyama vingi tumeishi kama ndugu kwa kushindana na kutofautiana kwa hoja. Tusikubali tofauti zetu ndani na nje ya vyama vyetu zikaondoa utamaduni huu na hata kubomoa taswira nzuri ya nchi yetu kimataifa.

Leo nimepata habari kwamba kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni na Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Nchini Mhe Freeman Aikael Mbowe "Mwamba" ameshambuliwa na watu wasiofahamika akiwa nyumbani kwake alipokuwa anarejea kutoka kwenye majukumu yake. Inasikitisha saana na kutafakarisha.

Je, ni nani anayetekeleza haya na kwa sababu zipi?

Je ni dola? Nachelea kuamini japo kwa sababu tu aliyeshambuliwa ni mpinzani lazima akili na mawazo ya wengi watafikiri hivyo. *Rejea namna vyombo vya dola vilivyomuokoa Mhe Mbowe asishambuliwe na vijana wa Tarime waliokuwa na hasira wakati wa msiba wa aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa jimbo hilo, marehemu Chacha Zakayo Wangwe wakimshutumu kuhusika na kifo chake. Ni dola ndiyo iliyomuokoa*, sasa iweje leo iwe inatajwa kumshambulia? kwanini tufikiri hivyo? Je, Mh Mbowe alikuwa tishio kwa utawala uliopo kuendelea kushika madaraka? Ukweli usiohitaji darubini ni kwamba hakua tishio na si tishio. *Tuviachie vyombo vya dola.

Pili: Siku za karibuni Mhe Mbowe na Chadema wameingia kwenye mgogoro wa kisiasa na baadhi ya wabunge wake ambao wamekuwa wakilalama kuwa wamejitolea jasho, mali na damu zao kukijenga chama hicho lakini mtu mmoja tu ambaye ni Mhe Mbowe aheshimu mawazo yao wala mchango wao kiasi cha kuwaendesha kama watoto. Wamekuwa wakidai hata simu zao hazipokelewi zaidi kwa kuwatumia baadhi ya wabunge wenzao wanaotajwa kuwa marafiki zake wa karibu *"Watu wa Mwenyekiti"* ili kuwasiliana naye. Zaidi wamekuwa wakichangishwa fedha ambazo wakihoji matumizi yake wanaonekana wakora. Upo uwezekano wa wao kuratibu malipizi ya kikatili, rejea kauli kuwa *"Jasho langu halitapotea bure" ~ Mhe David Silinde*. Ifahamike baadhi yao kama Mhe Wilfred Lwakatare ndiye aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa ulinzi na usalama chadema aliyeunda na kuendesha mafunzo kwa vikosi maalum vya vijana kwa ajili ya ulinzi wa chama, viongozi na hata kutekeleza matukio ya kikatili. Vijana hawa wengi wao wametumika kwa kazi mbalimbali za chama hicho bila malipo stahiki huku baadhi wakifukuzwa kwa chuki na wamerejea mitaani na vinyongo. Chadema ilikuwa inaandaa uasi rejea majaribio ya kutaka kuvamia vituo vya polisi kule Arusha Januari 2011, Kumwagiwa tindikali kwa kada wa CCM Tesha pale Igunga, jaribio la kuwekewa sumu kwa Zitto Kabwe alipokuwa chadema, kuteswa kwa mlinzi wa Dkt Slaa Hamis Kagenzi, kutekwa kwa Joseph Yona aliyekuwa kiongozi wao wilaya ya Temeke, kunyongwa hadi kufa kwa mlinzi wa Mbowe Gesti na wakamzika kimyakimya bila matangazo wala kutaka vyombo vya dola kuchunguza

Kwa hiyo mpasuko mkubwa uliopo ndani ya Chadema na Mhe Mbowe ndio matokeo yake haya. Watu kama Komu ni hatari kwa mipango ya ukatili rejea jaribio la kumshughulikia meya wa Ubungo ambapo lilivuja na wakahojiwa na kuadhibiwa. Pata picha lingefanikiwa nani angetupiwa lawama? Je, walionyimwa haki ya kujieleza kwenye vikao vya chama ndio wamehusika? *Tuviachie vyombo vya dola*

Tatu: Wivu wa mapenzi, wapo wabunge wa viti maalum wanaolalama Mhe Mbowe amekuwa akilazimisha kupewa penzi kitu ambacho ni unyanyasaji wa kingono hivyo wanaume au ndugu zao wanaweza wakawa wamemlia timing na kumkomoa rejea mke wa msemaji wa chadema naye alilalamikia unyanyasaji wa kingono na kuamua kutimka kujiunga NCCR-MAGEUZI sasa huyu mbunge wa viti maalum mumewe ni kiongozi mwandamizi haya yanamkuta wengine itakuaje?. Ukizingatia Mh Mbowe anatajwa kuwa dhaifu kwenye suala la wanawake. Rejea kesi kama Joyce Mukya, sauti yake na Wema Sepetu ndio maana wanawake aliotembea nao kimapenzi aliwapa ubunge viti maalum. Je, ni ndugu au wapenzi wa wabunge viti maalum wamefanya hili? *Tuviachie vyombo vya dola.*

Nne: Chadema wametengeneza sinema ya kuwapa kiki ya kisiasa na kupata huruma ya umma kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu ikizingatiwa kisiasa kilishapoteza nguvu ya ushawishi akiwemo Mh Mbowe mwenyewe jimboni kwake, Mhe Mbowe haoni taabu mlinzi wake kumfanyia hayo ni mtu wa siasa za matukio sana. Je itakuwa shambulizi la kupata huruma ya kisiasa? *Tuviachie vyombo vya dola*

Tano: Mhe Mbowe anatajwa kutomalizana vizuri na walinzi au wasaidizi wake binafsi, rejea Ben Saanane aliyetoweka mazingira ya kutatanisha huku swahiba wa Mh Mbowe na Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Mh Said Kubenea kupitia gazeti lake la Mawio na Mwanahalisi online akidai Ben Saanane anaonekana mitaani kwa kujificha ukiwa ni mkakati wa kutafuta ushawishi kuelekea uchaguzi wa Bavicha. Mwakyembe, diwani wa Kijichi aliyekimbia Chadema inasemekana ndio chanzo cha yeye kubadili sana walinzi binafsi. Mlinzi akianza kumdai stahiki zake atafukuzwa na kuwekewa uangalizi atakapokuwepo kama akionekana msemaji sana watamdhuru. Wapo walinzi kadhaa ambao wanadai malimbikizo yao mpaka sasa, huku wakiwa wamepata mafunzo pia ya kutesa na kuua kupitia kambi za siri za mafunzo za Chadema. Je, wameamua kufanya shambulizi kumdhuru kupunguza machungu? *Tuviachie vyombo vya dola*

Mwisho: Maadui wa serikali wameamua kutekeleza tukio hili kuitia doa ionekane inafanya shambulizi dhidi ya demokrasia. Je, ni kina nani hao? *Tuviachie vyombo vya dola*

Amani, umoja na usalama wa nchi yetu pendwa Tanzania viko juu ya chochote kile. Tuvitunze.

Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Ibariki Afrika.

Mwananchi Huru
John Marunda
Mara.
IMG_20200609_121239_400.JPG
IMG_20200609_121216_626.JPG
IMG_20200609_121200_650.JPG
FB_IMG_1591693447698.jpeg
FB_IMG_1591693541322.jpeg
FB_IMG_1591693548275.jpeg
 
Nahis uwezo watko wa kufikir ni mdg zaid ya elim ya upe! Haya mliongea wakat wa shambuliz la lissu mkaongea kwe kutekwa kwa watu mbalimbal cha ajabu chadema wakitaka uchunguz huru hamtak!

Kama ni visa vya kimapenz au ugomv na wabunge wa chadema waliofukuzwa kwann serkal haitak uchunguz huru? Jifanye kipofu sababu tu unalipwa buku7 lakin haya yalishawakuta nape,bashe na makada kibao wa ccm leo kwa mbowe kesho kwako ndo utajua shetan hana ndugu!
 
Kama bado hajawa raisi anakula wanawake hovyo hivi. Akija kuwa rais si atakula sana wadogo zetu huyu mzee.

Ndio maana roho za Watanzania zinasita kumpa ofisi huyu jamaa. Abakie huko huko bungeni
 
Nahis uwezo watko wa kufikir ni mdg zaid ya elim ya upe! Haya mliongea wakat wa shambuliz la lissu mkaongea kwe kutekwa kwa watu mbalimbal cha ajabu chadema wakitaka uchunguz huru hamtak! Kama ni visa vya kimapenz au ugomv na wabunge wa chadema waliofukuzwa kwann serkal haitak uchunguz huru? Jifanye kipofu sababu tu unalipwa buku7 lakin haya yalishawakuta nape,bashe na makada kibao wa ccm leo kwa mbowe kesho kwako ndo utajua shetan hana ndugu!
Mbona kafafanua vizuri tu kama una uwezo mzuri wa kufikili weka uzi ww.
 
nahis uwezo watko wa kufikir ni mdg zaid ya elim ya upe! Haya mliongea wakat wa shambuliz la lissu mkaongea kwe kutekwa kwa watu mbalimbal cha ajabu chadema wakitaka uchunguz huru hamtak! Kama ni visa vya kimapenz au ugomv na wabunge wa chadema waliofukuzwa kwann serkal haitak uchunguz huru? Jifanye kipofu sababu tu unalipwa buku7 lakin haya yalishawakuta nape,bashe na makada kibao wa ccm leo kwa mbowe kesho kwako ndo utajua shetan hana ndugu!
Yaani wewe unaojianika wazi kabisa kwa uandishi wako naweza kukuambia hata kijiji gani unatoka. Vijana wa kanda ya kishamba akili zenu mbovu sana.
 
Watoto wanadhani baba yupo kwenye hustle kumbe anaandika upupu humu
Kama bado hajawa raisi anakula wanawake hovyo hivi..... Akija kuwa rais si atakula sana wadogo zetu huyu mzee......

Ndio maana roho za watanzania zinasita kumpa ofisi huyu jamaa.... Abakie huko huko bungeni
 
Awali ya yote niseme katika nchi inayojinasibu kwa amani, utulivu, ustaarabu na kuheshimu utawala wa sheria matukio ya kikatili kama haya ya kupigana risasi, kushambuliana kwa silaha za moto au jadi au kutekana hayakubaliki na hatupaswi kuyaunga mkono zaidi ya kuyakemea na kuyalaani kwa umoja wetu na nguvu zetu zote kwani sio utamaduni wetu watanzania. Miaka 28 ya vyama vingi tumeishi kama ndugu kwa kushindana na kutofautiana kwa hoja. Tusikubali tofauti zetu ndani na nje ya vyama vyetu zikaondoa utamaduni huu na hata kubomoa taswira nzuri ya nchi yetu kimataifa.

Leo nimepata habari kwamba kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni na Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Nchini Mhe Freeman Aikael Mbowe "Mwamba" ameshambuliwa na watu wasiofahamika akiwa nyumbani kwake alipokuwa anarejea kutoka kwenye majukumu yake. Inasikitisha saana na kutafakarisha.

Je, ni nani anayetekeleza haya na kwa sababu zipi?

Je ni dola? Nachelea kuamini japo kwa sababu tu aliyeshambuliwa ni mpinzani lazima akili na mawazo ya wengi watafikiri hivyo. *Rejea namna vyombo vya dola vilivyomuokoa Mhe Mbowe asishambuliwe na vijana wa Tarime waliokuwa na hasira wakati wa msiba wa aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa jimbo hilo, marehemu Chacha Zakayo Wangwe wakimshutumu kuhusika na kifo chake. Ni dola ndiyo iliyomuokoa*, sasa iweje leo iwe inatajwa kumshambulia? kwanini tufikiri hivyo? Je, Mh Mbowe alikuwa tishio kwa utawala uliopo kuendelea kushika madaraka? Ukweli usiohitaji darubini ni kwamba hakua tishio na si tishio. *Tuviachie vyombo vya dola.

Pili: Siku za karibuni Mhe Mbowe na Chadema wameingia kwenye mgogoro wa kisiasa na baadhi ya wabunge wake ambao wamekuwa wakilalama kuwa wamejitolea jasho, mali na damu zao kukijenga chama hicho lakini mtu mmoja tu ambaye ni Mhe Mbowe aheshimu mawazo yao wala mchango wao kiasi cha kuwaendesha kama watoto. Wamekuwa wakidai hata simu zao hazipokelewi zaidi kwa kuwatumia baadhi ya wabunge wenzao wanaotajwa kuwa marafiki zake wa karibu *"Watu wa Mwenyekiti"* ili kuwasiliana naye. Zaidi wamekuwa wakichangishwa fedha ambazo wakihoji matumizi yake wanaonekana wakora. Upo uwezekano wa wao kuratibu malipizi ya kikatili, rejea kauli kuwa *"Jasho langu halitapotea bure" ~ Mhe David Silinde*. Ifahamike baadhi yao kama Mhe Wilfred Lwakatare ndiye aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa ulinzi na usalama chadema aliyeunda na kuendesha mafunzo kwa vikosi maalum vya vijana kwa ajili ya ulinzi wa chama, viongozi na hata kutekeleza matukio ya kikatili. Vijana hawa wengi wao wametumika kwa kazi mbalimbali za chama hicho bila malipo stahiki huku baadhi wakifukuzwa kwa chuki na wamerejea mitaani na vinyongo. Chadema ilikuwa inaandaa uasi rejea majaribio ya kutaka kuvamia vituo vya polisi kule Arusha Januari 2011, Kumwagiwa tindikali kwa kada wa CCM Tesha pale Igunga, jaribio la kuwekewa sumu kwa Zitto Kabwe alipokuwa chadema, kuteswa kwa mlinzi wa Dkt Slaa Hamis Kagenzi, kutekwa kwa Joseph Yona aliyekuwa kiongozi wao wilaya ya Temeke, kunyongwa hadi kufa kwa mlinzi wa Mbowe Gesti na wakamzika kimyakimya bila matangazo wala kutaka vyombo vya dola kuchunguza

Kwa hiyo mpasuko mkubwa uliopo ndani ya Chadema na Mhe Mbowe ndio matokeo yake haya. Watu kama Komu ni hatari kwa mipango ya ukatili rejea jaribio la kumshughulikia meya wa Ubungo ambapo lilivuja na wakahojiwa na kuadhibiwa. Pata picha lingefanikiwa nani angetupiwa lawama? Je, walionyimwa haki ya kujieleza kwenye vikao vya chama ndio wamehusika? *Tuviachie vyombo vya dola*

Tatu: Wivu wa mapenzi, wapo wabunge wa viti maalum wanaolalama Mhe Mbowe amekuwa akilazimisha kupewa penzi kitu ambacho ni unyanyasaji wa kingono hivyo wanaume au ndugu zao wanaweza wakawa wamemlia timing na kumkomoa rejea mke wa msemaji wa chadema naye alilalamikia unyanyasaji wa kingono na kuamua kutimka kujiunga NCCR-MAGEUZI sasa huyu mbunge wa viti maalum mumewe ni kiongozi mwandamizi haya yanamkuta wengine itakuaje?. Ukizingatia Mh Mbowe anatajwa kuwa dhaifu kwenye suala la wanawake. Rejea kesi kama Joyce Mukya, sauti yake na Wema Sepetu ndio maana wanawake aliotembea nao kimapenzi aliwapa ubunge viti maalum. Je, ni ndugu au wapenzi wa wabunge viti maalum wamefanya hili? *Tuviachie vyombo vya dola.*

Nne: Chadema wametengeneza sinema ya kuwapa kiki ya kisiasa na kupata huruma ya umma kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu ikizingatiwa kisiasa kilishapoteza nguvu ya ushawishi akiwemo Mh Mbowe mwenyewe jimboni kwake, Mhe Mbowe haoni taabu mlinzi wake kumfanyia hayo ni mtu wa siasa za matukio sana. Je itakuwa shambulizi la kupata huruma ya kisiasa? *Tuviachie vyombo vya dola*

Tano: Mhe Mbowe anatajwa kutomalizana vizuri na walinzi au wasaidizi wake binafsi, rejea Ben Saanane aliyetoweka mazingira ya kutatanisha huku swahiba wa Mh Mbowe na Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Mh Said Kubenea kupitia gazeti lake la Mawio na Mwanahalisi online akidai Ben Saanane anaonekana mitaani kwa kujificha ukiwa ni mkakati wa kutafuta ushawishi kuelekea uchaguzi wa Bavicha. Mwakyembe, diwani wa Kijichi aliyekimbia Chadema inasemekana ndio chanzo cha yeye kubadili sana walinzi binafsi. Mlinzi akianza kumdai stahiki zake atafukuzwa na kuwekewa uangalizi atakapokuwepo kama akionekana msemaji sana watamdhuru. Wapo walinzi kadhaa ambao wanadai malimbikizo yao mpaka sasa, huku wakiwa wamepata mafunzo pia ya kutesa na kuua kupitia kambi za siri za mafunzo za Chadema. Je, wameamua kufanya shambulizi kumdhuru kupunguza machungu? *Tuviachie vyombo vya dola*

Mwisho: Maadui wa serikali wameamua kutekeleza tukio hili kuitia doa ionekane inafanya shambulizi dhidi ya demokrasia. Je, ni kina nani hao? *Tuviachie vyombo vya dola*

Amani, umoja na usalama wa nchi yetu pendwa Tanzania viko juu ya chochote kile. Tuvitunze.

Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Ibariki Afrika.

Mwananchi Huru
John Marunda
Mara.View attachment 1473190View attachment 1473191View attachment 1473192View attachment 1473193View attachment 1473194View attachment 1473195
Naunga mkono
 
Yaani wewe unaojianika wazi kabisa kwa uandishi wako naweza kukuambia hata kijiji gani unatoka. Vijana wa kanda ya kishamba akili zenu mbovu sana.
Kijijini kwao tajiri anamiliki bodaboda n bar ya gongo
 
mnafanya matukio halafu mbio JF kuanzisha nyuzi za kuwahamisha watu
 
Mjadala upo biased na inahitaji jicho la tatu kuona hilo
 
Binafsi nakubaliana na Afande Mroto kuwa hili ni tukio la kihalifu kama matukio mengine yoyote hivyo tuwaache Polisi na vyombo vingine vya ulinzina usalama vifanye kazi yake ili ukweli ujulikane.

Nadhani sisi wana CDM tunataka kulikuza hili lionekane kama tukio tofauti na matukio mengine ya kihalifu. Maelezo ya Afande Mroto yamenyooka kuliko ya wasemaji wa CHADEMA.

Afande anazungumzia saa tisa za usiku sijui saa nane, viongozi hawaelezi timing ya hilo tukio, by the way walinzi wa Mh.Mbowe, wale wanaolipwa na Serikali au wale RED BRIGADE walikuwa wapi wakati hujuma hizi zinatokea?!

Kuna maswali mengi yanayohitaji majibu na hili litamalizwa na uchunguzi wa Jeshi la Polisi na vyombo vingine vya ulinzi kwani hujuma hizi zinamuhusu mtu mzito. Nawasilisha.
 
Uko vizuri kwenye kuelezea hisia zako na kudanganya.Umetumwa?
 
Awali ya yote niseme katika nchi inayojinasibu kwa amani, utulivu, ustaarabu na kuheshimu utawala wa sheria matukio ya kikatili kama haya ya kupigana risasi, kushambuliana kwa silaha za moto au jadi au kutekana hayakubaliki na hatupaswi kuyaunga mkono zaidi ya kuyakemea na kuyalaani kwa umoja wetu na nguvu zetu zote kwani sio utamaduni wetu watanzania. Miaka 28 ya vyama vingi tumeishi kama ndugu kwa kushindana na kutofautiana kwa hoja. Tusikubali tofauti zetu ndani na nje ya vyama vyetu zikaondoa utamaduni huu na hata kubomoa taswira nzuri ya nchi yetu kimataifa.

Leo nimepata habari kwamba kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni na Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Nchini Mhe Freeman Aikael Mbowe "Mwamba" ameshambuliwa na watu wasiofahamika akiwa nyumbani kwake alipokuwa anarejea kutoka kwenye majukumu yake. Inasikitisha saana na kutafakarisha.

Je, ni nani anayetekeleza haya na kwa sababu zipi?

Je ni dola? Nachelea kuamini japo kwa sababu tu aliyeshambuliwa ni mpinzani lazima akili na mawazo ya wengi watafikiri hivyo. *Rejea namna vyombo vya dola vilivyomuokoa Mhe Mbowe asishambuliwe na vijana wa Tarime waliokuwa na hasira wakati wa msiba wa aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa jimbo hilo, marehemu Chacha Zakayo Wangwe wakimshutumu kuhusika na kifo chake. Ni dola ndiyo iliyomuokoa*, sasa iweje leo iwe inatajwa kumshambulia? kwanini tufikiri hivyo? Je, Mh Mbowe alikuwa tishio kwa utawala uliopo kuendelea kushika madaraka? Ukweli usiohitaji darubini ni kwamba hakua tishio na si tishio. *Tuviachie vyombo vya dola.

Pili: Siku za karibuni Mhe Mbowe na Chadema wameingia kwenye mgogoro wa kisiasa na baadhi ya wabunge wake ambao wamekuwa wakilalama kuwa wamejitolea jasho, mali na damu zao kukijenga chama hicho lakini mtu mmoja tu ambaye ni Mhe Mbowe aheshimu mawazo yao wala mchango wao kiasi cha kuwaendesha kama watoto. Wamekuwa wakidai hata simu zao hazipokelewi zaidi kwa kuwatumia baadhi ya wabunge wenzao wanaotajwa kuwa marafiki zake wa karibu *"Watu wa Mwenyekiti"* ili kuwasiliana naye. Zaidi wamekuwa wakichangishwa fedha ambazo wakihoji matumizi yake wanaonekana wakora. Upo uwezekano wa wao kuratibu malipizi ya kikatili, rejea kauli kuwa *"Jasho langu halitapotea bure" ~ Mhe David Silinde*. Ifahamike baadhi yao kama Mhe Wilfred Lwakatare ndiye aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa ulinzi na usalama chadema aliyeunda na kuendesha mafunzo kwa vikosi maalum vya vijana kwa ajili ya ulinzi wa chama, viongozi na hata kutekeleza matukio ya kikatili. Vijana hawa wengi wao wametumika kwa kazi mbalimbali za chama hicho bila malipo stahiki huku baadhi wakifukuzwa kwa chuki na wamerejea mitaani na vinyongo. Chadema ilikuwa inaandaa uasi rejea majaribio ya kutaka kuvamia vituo vya polisi kule Arusha Januari 2011, Kumwagiwa tindikali kwa kada wa CCM Tesha pale Igunga, jaribio la kuwekewa sumu kwa Zitto Kabwe alipokuwa chadema, kuteswa kwa mlinzi wa Dkt Slaa Hamis Kagenzi, kutekwa kwa Joseph Yona aliyekuwa kiongozi wao wilaya ya Temeke, kunyongwa hadi kufa kwa mlinzi wa Mbowe Gesti na wakamzika kimyakimya bila matangazo wala kutaka vyombo vya dola kuchunguza

Kwa hiyo mpasuko mkubwa uliopo ndani ya Chadema na Mhe Mbowe ndio matokeo yake haya. Watu kama Komu ni hatari kwa mipango ya ukatili rejea jaribio la kumshughulikia meya wa Ubungo ambapo lilivuja na wakahojiwa na kuadhibiwa. Pata picha lingefanikiwa nani angetupiwa lawama? Je, walionyimwa haki ya kujieleza kwenye vikao vya chama ndio wamehusika? *Tuviachie vyombo vya dola*

Tatu: Wivu wa mapenzi, wapo wabunge wa viti maalum wanaolalama Mhe Mbowe amekuwa akilazimisha kupewa penzi kitu ambacho ni unyanyasaji wa kingono hivyo wanaume au ndugu zao wanaweza wakawa wamemlia timing na kumkomoa rejea mke wa msemaji wa chadema naye alilalamikia unyanyasaji wa kingono na kuamua kutimka kujiunga NCCR-MAGEUZI sasa huyu mbunge wa viti maalum mumewe ni kiongozi mwandamizi haya yanamkuta wengine itakuaje?. Ukizingatia Mh Mbowe anatajwa kuwa dhaifu kwenye suala la wanawake. Rejea kesi kama Joyce Mukya, sauti yake na Wema Sepetu ndio maana wanawake aliotembea nao kimapenzi aliwapa ubunge viti maalum. Je, ni ndugu au wapenzi wa wabunge viti maalum wamefanya hili? *Tuviachie vyombo vya dola.*

Nne: Chadema wametengeneza sinema ya kuwapa kiki ya kisiasa na kupata huruma ya umma kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu ikizingatiwa kisiasa kilishapoteza nguvu ya ushawishi akiwemo Mh Mbowe mwenyewe jimboni kwake, Mhe Mbowe haoni taabu mlinzi wake kumfanyia hayo ni mtu wa siasa za matukio sana. Je itakuwa shambulizi la kupata huruma ya kisiasa? *Tuviachie vyombo vya dola*

Tano: Mhe Mbowe anatajwa kutomalizana vizuri na walinzi au wasaidizi wake binafsi, rejea Ben Saanane aliyetoweka mazingira ya kutatanisha huku swahiba wa Mh Mbowe na Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Mh Said Kubenea kupitia gazeti lake la Mawio na Mwanahalisi online akidai Ben Saanane anaonekana mitaani kwa kujificha ukiwa ni mkakati wa kutafuta ushawishi kuelekea uchaguzi wa Bavicha. Mwakyembe, diwani wa Kijichi aliyekimbia Chadema inasemekana ndio chanzo cha yeye kubadili sana walinzi binafsi. Mlinzi akianza kumdai stahiki zake atafukuzwa na kuwekewa uangalizi atakapokuwepo kama akionekana msemaji sana watamdhuru. Wapo walinzi kadhaa ambao wanadai malimbikizo yao mpaka sasa, huku wakiwa wamepata mafunzo pia ya kutesa na kuua kupitia kambi za siri za mafunzo za Chadema. Je, wameamua kufanya shambulizi kumdhuru kupunguza machungu? *Tuviachie vyombo vya dola*

Mwisho: Maadui wa serikali wameamua kutekeleza tukio hili kuitia doa ionekane inafanya shambulizi dhidi ya demokrasia. Je, ni kina nani hao? *Tuviachie vyombo vya dola*

Amani, umoja na usalama wa nchi yetu pendwa Tanzania viko juu ya chochote kile. Tuvitunze.

Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Ibariki Afrika.

Mwananchi Huru
John Marunda
Mara.View attachment 1473190View attachment 1473191View attachment 1473192View attachment 1473193View attachment 1473194View attachment 1473195
Na vipi kuhusu yule aliyemtolea silaha Nape hadharani!!?
 
Binafsi nakubaliana na Afande Mroto kuwa hili ni tukio la kihalifu kama matukio mengine yoyote hivyo tuwaache Polisi na vyombo vingine vya ulinzina usalama vifanye kazi yake ili ukweli ujulikane. Nadhani sisi wana CDM tunataka kulikuza hili lionekane kama tukio tofauti na matukio mengine ya kihalifu. Maelezo ya Afande Mroto yamenyooka kuliko ya wasemaji wa CHADEMA. Afande anazungumzia saa tisa za usiku sijui saa nane, viongozi hawaelezi timing ya hilo tukio, by the way walinzi wa Mh.Mbowe, wale wanaolipwa na Serikali au wale RED BRIGADE walikuwa wapi wakati hujuma hizi zinatokea?! Kuna maswali mengi yanayohitaji majibu na hili litamalizwa na uchunguzi wa Jeshi la Polisi na vyombo vingine vya ulinzi kwani hujuma hizi zinamuhusu mtu mzito. Nawasilisha.

Hao polisi ndio sehemu ya hili tatizo.
 
Back
Top Bottom