Hii waziri ya hiyo kitu inahusiana na TBC ,anatuambia anabana matumizi bila kutuambia anatumia bilioni nne asipoonnyesha live atatumia sh ngapi na hivyo anaokoa sh ngapi na hiyo hela anayookoa inatumika vipi ni crap ? Censorship Imeanza period!
Gharama za bunge kwa mwezi zinazidi hiyo bil. 4, asilimia kubwa ya matumizi sio ya lazima. Wapunguze kidogo gharama za bunge sisi wananchi tupate haki yetu ya kujua wabunge wetu wanafanya nini na hii awamu mpya inafanya nini.
Magufuli naye ajiongeze bwana, yaani watu wanataka kumchafulia yeye anachekacheka tu? Inakuwaje waziri jingajinga tu linakuja mbele za watu kutapika minyoo? Kama hili jipu hatalitumbua naye tutajua ni jipu!
Hii waziri ya hiyo kitu inahusiana na TBC ,anatuambia anabana matumizi bila kutuambia anatumia bilioni nne asipoonnyesha live atatumia sh ngapi na hivyo anaokoa sh ngapi na hiyo hela anayookoa inatumika vipi ni crap ? Censorship Imeanza period!
Nadhani hili ndiyo swali wabunge wa upinzani walitakiwa wahoji!
Badala ya kupoga kellele na kuleta fujo wangesimamia katika kujiridhisha hizo bilioni 14 ni hesabu za kweli au ni kisinvizio cha serikali. Kama no za kweli washauri nini kifanyike.
Kuleta fujo kunatoa picha ni watu wanaopania kukwamisha mjadala mvutano ambao kwa idadi yao hawatashinda, wataishia kufukuzwa mpaka mjadala utakapofungwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.