Kusema UKWELI ni kauli ya Mungu..

Kusema UKWELI ni kauli ya Mungu..

kanyela mumo

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
2,033
Reaction score
2,124
Napongeza sana Azam media pamoja na wafanyakazi wake wote, kiukweli mnatupa kinacho stahili.., kama ni Elimu mnatupa zaidi ya Elimu.

Taarifa ya habari saa mbili leo tarehe 29, ikiwa sisi watazamaji tumetulia tulii tulii majumbani harafu mnaonyesha mjasiliamali mwingine wa maji na lable yake..! Tena jinsi anavyo zalisha kila hatua ..! Aisee nawapongeza sana. Kwa sisi tunao jielewa mnatupa zaidi ya Elimu katika king'amuzi chenu.

Usema ukweli kipenzi cha Mungu watanzania tunataka kuona umoja katika television zetu sio chuki. Sio siasa siasa, Watanzania tutakuwa mazezeta na muda hutarudi nyuma.
Tufate taratibu na kuisaidia serikali katika mabadiriko.

Mabadiriko yatakao leta tija kwa Watanzania wote na chachu ya watu kujitambua thamani na uwezo walio nao au tulio nao.

Napongeza Clouds media kwa mabadiriko mlio leta ikiwemo Ndondo cup, Brother JOOH heshima kwako sana kaka. Nakufatilia mpaka kwenye Istra brother unapenda mabadiriko i swear.. na yote kwa sababu unafata taratibu za Nchi yako pendwa hongera sana.

Tukifata taratibu na tukajituma, tukajua wajibu wetu tutakuwa Taifa kubwa sana, maana huyu Rais tukimwelewa nia yake haki ya Mungu tunakuwa Taifa kubwa niamini nawaambia. Huyu Rais ni zawadi ya Mungu katika Taifa letu, huyu ni baba mwenye nia ya dhati na familia tumsikilize tumvumilie na tujitume.

Upendo kwa wote nawapenda sana.
 
Mabadiriko /Mabadiliko

Halafu kwa kuwa hata tarehe ya leo 29,Julai huna uhakika nayo basi hata uliyoyaandika kwenye para la mwisho pia huna uhakika nayo.
 
Afu leo tarehe 29 sio 28 mbona unarudisha siku nyuma? au uliandika jana nini afu ukapost leo..

Kaka nakimbizana na Pesa mpaka nasahau tarehe, najua siku kutokana na kazi ila tarehe huwa sijari sijahajiliwa mkuu.
 
Mabadiriko /Mabadiliko

Halafu kwa kuwa hata tarehe ya leo 29,Julai huna uhakika nayo basi hata uliyoyaandika kwenye para la mwisho pia huna uhakika nayo.

Soon ntataoa ajira kwa Ma IT wawili usijari sana makosa madogo madogo, nashukuru kwa elimu ulio nipa.
 
Soon ntataoa ajira kwa Ma IT wawili usijari sana makosa madogo madogo, nashukuru kwa elimu ulio nipa.
usijari/usijali

Asante na wewe mkuu. Wadhifa wako ni upi? Kwa kuahidi ajira kwa hao.
 
Back
Top Bottom